Uchaguzi 2020 TAKUKURU mnazuia ubwabwa mnawaacha wasanii?

Hakuna lolote hapo maigizo matupu!

Takukuru wamemsaidia Rungwe baada ya lengo kukamilika.

Huo ubwabwa wa kulisha watu milioni sitini anautoa wapi kwa mfano?
 
Hakuna lolote hapo maigizo matupu!

Takukuru wamemsaidia Rungwe baada ya lengo kukamilika.

Huo ubwabwa wa kulisha watu milioni sitini anautoa wapi kwa mfano?
Na wengine kwa kujirudia kwenye mikutano tofauti
 
TAKUKURU ni TAKAKUU ama TAKATUPU ktk siasa za nchi hii. Ipo kama tissue ya CCM.
 
BAKWATA,CWT,TAKUKURU,TBC,POLISI vyote hivyo ni vyama vya ccm
 
Ni kituko mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wakati binadamu anatakiwa atumie akili aliyopewa na Mungu kufanya tafakari

Mtu aliyepewa ridhaa kuongoza serikali miaka 5, mambo yote uliyowafanyia wananchi kama utkelezaji wa Ilani,... pamoja na kuwa na kundi la supporters ambao kila kitu watasifia hadi kuongeza chumvi.
Kuzuia shughuli za siasa kwa muda wote wa utawala wako hasa upande wa wapi zani, halafu unakuja na hoja nyepesi namna ile!!
Hapana aisee, hatutendeani HAKI.
 
Kama kungekuwa na tume huru yenye meno huyu mgombea wa ccm angesha pigwa stop na kutupiwa virago

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natamani sana vijana wenzangu wapate ajira, ila kuamuru watu waajiriwe kipindi hiki hako sio ka-TAKUKURU?
 
Naona walisha peana kiapo kuwa ni lazima ccm irudi madarakani kwa gharama zozote zile kwao ni poa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huna akili, huu uzi unazungumzia mgombea urais kupitia CHAUMA, na MGOMBEA urais kupitia CCM.

Hakuna sehemu amezungumziwa mbunge au diwani, jitahidi kuisumbua akili yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mbwiga wa bavicha sheria ya rushwa haibagui mgombea urais wala mgombea ubunge au udiwani!

Mwambie Mbowe aweke mbege kwenye mkutano wake pale Machame aone kama Takukuru watamuacha kwa sababu yeye siyo Rungwe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…