Uchaguzi 2020 TAKUKURU mnazuia ubwabwa mnawaacha wasanii?

Uchaguzi 2020 TAKUKURU mnazuia ubwabwa mnawaacha wasanii?

Hakuna lolote hapo maigizo matupu!

Takukuru wamemsaidia Rungwe baada ya lengo kukamilika.

Huo ubwabwa wa kulisha watu milioni sitini anautoa wapi kwa mfano?
 
Aah Takururu wametuharibia kampeni.
IMG-20200904-WA0087.jpg


Jr[emoji769]
 
Hakuna lolote hapo maigizo matupu!

Takukuru wamemsaidia Rungwe baada ya lengo kukamilika.

Huo ubwabwa wa kulisha watu milioni sitini anautoa wapi kwa mfano?
Na wengine kwa kujirudia kwenye mikutano tofauti
 
TAKUKURU ni TAKAKUU ama TAKATUPU ktk siasa za nchi hii. Ipo kama tissue ya CCM.
 
BAKWATA,CWT,TAKUKURU,TBC,POLISI vyote hivyo ni vyama vya ccm
 
Ni kituko mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wakati binadamu anatakiwa atumie akili aliyopewa na Mungu kufanya tafakari

Mtu aliyepewa ridhaa kuongoza serikali miaka 5, mambo yote uliyowafanyia wananchi kama utkelezaji wa Ilani,... pamoja na kuwa na kundi la supporters ambao kila kitu watasifia hadi kuongeza chumvi.
Kuzuia shughuli za siasa kwa muda wote wa utawala wako hasa upande wa wapi zani, halafu unakuja na hoja nyepesi namna ile!!
Hapana aisee, hatutendeani HAKI.
 
Mgombea wa CCM ametoa ajira za ghafla kwa walimu! CCM inawapa posho wasanii hizi zote ni rushwa hapo kwa TAKUKURU zinaonekana si rushwa kwa sababu zinatolewa na CCM! Ni waziri mamlaka hii tangu awali imeonekana kugwaya panapohusika CCM na kuonesha mskucha panapohusika wapinzani, wakazi wa Mbagala waliufinya ubwabwa wa Manji alipogombea udiwani kwenye viwanja vya Zakhiem na hakuna hatua zozote zilizochukuliwa na mpaka sasa wagombea wa CCM wanaendelea kumwaga ubwabwa na senti, ni wazi TAKUKURU inawaonea wapinzani kwa vitendo inavyovikubali kwa CCM.
Kama kungekuwa na tume huru yenye meno huyu mgombea wa ccm angesha pigwa stop na kutupiwa virago

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natamani sana vijana wenzangu wapate ajira, ila kuamuru watu waajiriwe kipindi hiki hako sio ka-TAKUKURU?
 
Kuna wakati binadamu anatakiwa atumie akili aliyopewa na Mungu kufanya tafakari

Mtu aliyepewa ridhaa kuongoza serikali miaka 5, mambo yote uliyowafanyia wananchi pamoja na kuwa na kundi la supporters ambao kila kitu watasifia hadi kuongeza chumvi.
Kuzuia shughuli za siasa kwa muda wote wa utawala wako hasa upande wa wapi zani, halafu unakuja na hoja nyepesi namna ile!!
Hapana aisee, hatutendeani HAKI.
Naona walisha peana kiapo kuwa ni lazima ccm irudi madarakani kwa gharama zozote zile kwao ni poa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huna akili, huu uzi unazungumzia mgombea urais kupitia CHAUMA, na MGOMBEA urais kupitia CCM.

Hakuna sehemu amezungumziwa mbunge au diwani, jitahidi kuisumbua akili yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mbwiga wa bavicha sheria ya rushwa haibagui mgombea urais wala mgombea ubunge au udiwani!

Mwambie Mbowe aweke mbege kwenye mkutano wake pale Machame aone kama Takukuru watamuacha kwa sababu yeye siyo Rungwe!
 
Back
Top Bottom