Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchungaji Msigwa anaweza kuleta " mtogwa"
Wengine wanataka kura za hisani kwa kulazimisha kama wengine walipewa miaka 10, kwanini wao iwe 5?Dah wengine wanatumia majeraha kupata kura za huruma
Kumbe anagombea urais? Ndiyo maana nakwambiaga siku kuwa hutaki kuisumbua akili yako.Mchungaji Msigwa anaweza kuleta " mtogwa"
Hata bila aibu aisee!Wengine wanataka kura za hisani kwa kulazimisha kama wengine walipewa miaka 10, kwanini wao iwe 5?
Hii ndiyo Tanzania
Na wengine kwa kujirudia kwenye mikutano tofautiHakuna lolote hapo maigizo matupu!
Takukuru wamemsaidia Rungwe baada ya lengo kukamilika.
Huo ubwabwa wa kulisha watu milioni sitini anautoa wapi kwa mfano?
Hatari sana
Kwani huyo Tundu Lisu hatakwenda Iringa mjini?Kumbe anagombea urais? Ndiyo maana nakwambiaga siku kuwa hutaki kuisumbua akili yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaa...... Ubwabwa ni rushwa?!
Yesu aliwalisha makutano mikate na samaki!
Huna akili, huu uzi unazungumzia mgombea urais kupitia CHAUMA, na MGOMBEA urais kupitia CCM.Kwani huyo Tundu Lisu hatakwenda Iringa mjini?
Wewe bavicha bure kabisa!
Kuna wakati binadamu anatakiwa atumie akili aliyopewa na Mungu kufanya tafakari
Kama kungekuwa na tume huru yenye meno huyu mgombea wa ccm angesha pigwa stop na kutupiwa viragoMgombea wa CCM ametoa ajira za ghafla kwa walimu! CCM inawapa posho wasanii hizi zote ni rushwa hapo kwa TAKUKURU zinaonekana si rushwa kwa sababu zinatolewa na CCM! Ni waziri mamlaka hii tangu awali imeonekana kugwaya panapohusika CCM na kuonesha mskucha panapohusika wapinzani, wakazi wa Mbagala waliufinya ubwabwa wa Manji alipogombea udiwani kwenye viwanja vya Zakhiem na hakuna hatua zozote zilizochukuliwa na mpaka sasa wagombea wa CCM wanaendelea kumwaga ubwabwa na senti, ni wazi TAKUKURU inawaonea wapinzani kwa vitendo inavyovikubali kwa CCM.
Naona walisha peana kiapo kuwa ni lazima ccm irudi madarakani kwa gharama zozote zile kwao ni poa tuKuna wakati binadamu anatakiwa atumie akili aliyopewa na Mungu kufanya tafakari
Mtu aliyepewa ridhaa kuongoza serikali miaka 5, mambo yote uliyowafanyia wananchi pamoja na kuwa na kundi la supporters ambao kila kitu watasifia hadi kuongeza chumvi.
Kuzuia shughuli za siasa kwa muda wote wa utawala wako hasa upande wa wapi zani, halafu unakuja na hoja nyepesi namna ile!!
Hapana aisee, hatutendeani HAKI.
Wewe mbwiga wa bavicha sheria ya rushwa haibagui mgombea urais wala mgombea ubunge au udiwani!Huna akili, huu uzi unazungumzia mgombea urais kupitia CHAUMA, na MGOMBEA urais kupitia CCM.
Hakuna sehemu amezungumziwa mbunge au diwani, jitahidi kuisumbua akili yako.
Sent using Jamii Forums mobile app