Uchaguzi 2020 TAKUKURU mnazuia ubwabwa mnawaacha wasanii?

Unaongelea utafiti uliofanywa UVCCM&Associates?Twaweza walimpa ukweli umaarufu wenu umeshuka mkawafungia mpk leo,hahah.

Umeona hata taasisi yoyote reputable/international media yoyote ile iki discuss hio 'rubbish report' yenu?

Hio rubbish report inakua discussed hapo uhuru fm,channel 10,magic fm,tbc&the likes.

Hakika atashinda.View attachment 1559480

ushindi wa kishindo
 
Uhuru, mzalendo, na vifungashio vya musiba na mwenzake Habibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuwekee na ya TWAWEZA

Sent using Jamii Forums mobile app

hiii apa
1599313915117.png
 
Tuwekee na ya TWAWEZA

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukisikiliza maelezo utagundua kitu

Mwisho alipisema "Kama uchaguzi ungefanyika leo, ....mshindi ni ( )

Hapo kwenye bold ndipo kwenye shida.
Maelezo ya mwanzo yanaashiria ni utafiti(endapo/kama), lakini mwisho sentesi hazifanani kuonesha hata jibu ni matokeo ya huo utafiti [emoji28]
 
Jana PCCB wamepiga marufuku mgombea wa chauma kutumia UBWABWA kwenye kampeini zake.

Mzee Rungwe amekuwa anasema yeye atatumia UBWABWA kwenye kampeni zake kama CCM inavyowatumia wasanii kwenye kampeni zake.

Hapa ndipo maswali mengi yanapo jitokeza kwa wapenda haki hapa nchini. Hapa kuna double standard.

CCM kuwatumia WASANII ni moja ya kuwavuta watu waende kwenye mikutano yao hivyo nayo ni rushwa tuuu, TAKUKURU wanashindwa nini kuwastopisha CCM kuwatumia WASANII? Maana yote ni rushwa tu.

Tanzania bila CCM inawezekana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawarubuni wapiga kura kwa ahadi za barabara za lami,ajira 13,000 za waalimu,miradi ya Maji na vyeo Vingi serikalini.
 
Yaani mi bado nipo gizani, hivi kisheria hii imekaaje ya kuahidi miradi inayo hitaji rasilimali za serikali kutumika kwenye kampeini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana PCCB wamepiga marufuku mgombea wa chauma kutumia UBWABWA kwenye kampeini zake.

Mzee Rungwe amekuwa anasema yeye atatumia UBWABWA kwenye kampeni zake kama CCM inavyowatumia wasanii kwenye kampeni zake.

Hapa ndipo maswali mengi yanapo jitokeza kwa wapenda haki hapa nchini. Hapa kuna double standard.

CCM kuwatumia WASANII ni moja ya kuwavuta watu waende kwenye mikutano yao hivyo nayo ni rushwa tuuu, TAKUKURU wanashindwa nini kuwastopisha CCM kuwatumia WASANII? Maana yote ni rushwa tu.

Tanzania bila CCM inawezekana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee!!! ( 642 X 640 ).jpg
 
Back
Top Bottom