cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Sawaaaah[emoji3][emoji3][emoji3] haya mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawaaaah[emoji3][emoji3][emoji3] haya mkuu.
Unaongelea utafiti uliofanywa UVCCM&Associates?Twaweza walimpa ukweli umaarufu wenu umeshuka mkawafungia mpk leo,hahah.
Umeona hata taasisi yoyote reputable/international media yoyote ile iki discuss hio 'rubbish report' yenu?
Hio rubbish report inakua discussed hapo uhuru fm,channel 10,magic fm,tbc&the likes.
Hakika atashinda.View attachment 1559480
Uhuru, mzalendo, na vifungashio vya musiba na mwenzake HabibuUnaongelea utafiti uliofanywa UVCCM&Associates?Twaweza walimpa ukweli umaarufu wenu umeshuka mkawafungia mpk leo,hahah.
Umeona hata taasisi yoyote reputable/international media yoyote ile iki discuss hio 'rubbish report' yenu?
Hio rubbish report inakua discussed hapo uhuru fm,channel 10,magic fm,tbc&the likes.
Hakika atashinda.View attachment 1559480
Pongezi nyingi sana kwako mkuu kwa kutukusanyia documents muhimuWala hawajosea.View attachment 1559475
Ukisikiliza maelezo utagundua kitu
Wameamua kutufanyia ukatili sisi wagonjwa wa ngunawamuachae bwana hawa taku kungru nao hawana dogo
Hahahaaaa...... Yesu aliwalisha makutano mikate na samaki!
Wanawarubuni wapiga kura kwa ahadi za barabara za lami,ajira 13,000 za waalimu,miradi ya Maji na vyeo Vingi serikalini.Jana PCCB wamepiga marufuku mgombea wa chauma kutumia UBWABWA kwenye kampeini zake.
Mzee Rungwe amekuwa anasema yeye atatumia UBWABWA kwenye kampeni zake kama CCM inavyowatumia wasanii kwenye kampeni zake.
Hapa ndipo maswali mengi yanapo jitokeza kwa wapenda haki hapa nchini. Hapa kuna double standard.
CCM kuwatumia WASANII ni moja ya kuwavuta watu waende kwenye mikutano yao hivyo nayo ni rushwa tuuu, TAKUKURU wanashindwa nini kuwastopisha CCM kuwatumia WASANII? Maana yote ni rushwa tu.
Tanzania bila CCM inawezekana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani mi bado nipo gizani, hivi kisheria hii imekaaje ya kuahidi miradi inayo hitaji rasilimali za serikali kutumika kwenye kampeini?Wanawarubuni wapiga kura kwa ahadi za barabara za lami,ajira 13,000 za waalimu,miradi ya Maji na vyeo Vingi serikalini.
Jana PCCB wamepiga marufuku mgombea wa chauma kutumia UBWABWA kwenye kampeini zake.
Mzee Rungwe amekuwa anasema yeye atatumia UBWABWA kwenye kampeni zake kama CCM inavyowatumia wasanii kwenye kampeni zake.
Hapa ndipo maswali mengi yanapo jitokeza kwa wapenda haki hapa nchini. Hapa kuna double standard.
CCM kuwatumia WASANII ni moja ya kuwavuta watu waende kwenye mikutano yao hivyo nayo ni rushwa tuuu, TAKUKURU wanashindwa nini kuwastopisha CCM kuwatumia WASANII? Maana yote ni rushwa tu.
Tanzania bila CCM inawezekana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ndiyo chama tawala, badala ya kufanya kampeini wanafanya bonanza!
Mwambieni mwenyekiti awaletee hi kitu yenuMimi nilisha nunua ndizi zangu za kuiva ili nikajigongee nguna la mzee wetu Spunda!
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko musoma nasikia mama wa taifa leo kawaondolea uvivu, kakataa kulishwa maneno na ccm kama kawaida yenu.Mwambieni mwenyekiti awaletee hi kitu yenuView attachment 1559762
Yaani mi bado nipo gizani, hivi kisheria hii imekaaje ya kuahidi miradi inayo hitaji rasilimali za serikali kutumika kwenye kampeini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yule aliye okotwa jalalani yupo anawadanganya mabeberu ili waendelee kuwajazia bakuli laoWapo na Stress zao ndiyo maana wanahororoja,ukiwa muongo hautakiwi kuwa msahaulifu.Wale wa Jalalani mpo?