Jumlisha kisha toaHuh? Sijaelewa hiko umefanya hapo
Acha ukuda wewe kanisani au msikitini hautoi Sadaka?Unawapa nauli kipindi hiki? Huwezi kuwa mjinga kiasi hiki Mkuu... au ndio team mama anatosha, mama hana deni?🤣🤣🤣
20*4225 84500000 kama sijakoseaSasa 20,000 nayo hela? Emu acheni nongwa hizo mimi nikajua kawakatia million 20 kila mmoja afu 20 mnapiga yowe?
Sasa hio si hela ya mafuta ya gari zao kwa mwezi, unashangaa nini?20*4225 84500000 kama sijakosea
Kwamba hiyo astaili takukuru kufanya uchunguzi wa rushwa?Sasa hio si hela ya mafuta ya gari zao kwa mwezi, unashangaa nini?
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...Mambo yao hatuwaachii wenyewe leo, yanatuhusu😂😂
Kuchunguza nini yule maaskofu na mashekhe wanapopewa mamillion kuna Takukuru anaeingilia kati? Kumbuka Ndumbaro anamuwakilisha UshungiKwamba hiyo astaili takukuru kufanya uchunguzi wa rushwa?
Sawa mkuu nimekuelewa kumbe ni tafsidaKuchunguza nini yule maaskofu na mashekhe wanapopewa mamillion kuna Takukuru anaeingilia kati? Kumbuka Ndumbaro anamuwakilisha Ushungi
Kwa hio ulijua nini usimlaumu mbwa kubweka mlaumu mwenye mbwaSawa mkuu nimekuelewa kumbe ni tafsida
Sawa kiongoziKwa hio ulijua nini usimlaumu mbwa kubweka mlaumu mwenye mbwa
Wajumbe kuleni hizo hela.Wakuu,
Mbunge na Waziri wa katiba na Sheria Damas Ndumbaro akiwa Songea ukumbi wa bombambili, alitoa 'posho' ya Tsh. 20,000/=kwa Kila mjumbe.
Ambapo wajumbe hao ni wapiga kura za maoni ndani ya chama kwa uchaguzi ujao.
Kwa kavideo hako ni mabalozi na wajumbe wa mabalozi ambao idadi yao ni wajumbe wapatao 4,225.
View attachment 3331450
Ni kwamba haiishii hapo, mpango ni kuwafikia wajumbe wote wa manispaa ya Songea ambao wapo takribani wajumbe 9,000.
Ilhali akitumia gari la wizara kufanya mambo hayo. Kamati za Siasa Wilayani na Mkoa mmekubali kununulika af mbili mbili? Mwanasheria anakuwa wa kwanza kutoa rushwa, aroo🤣🤣
Au ndio mambo yao tuwaachie wenyewe kama anavyosemaga Smart911 na Mahondaw tuwe nao sambamba mpaka wamalizane?😂 Lini hamna, inauma kodi zetu zinaenda kuliwa na wajumbe kizembe
TAKUKURU kazi kwenu.
Village Executive Officer(VEO)VEOs kirefu chake ni nini Mkuu?
Muulize Lucas Mwashambwa, Village Executive Officer'sVEOs kirefu chake ni nini Mkuu?
Kwani hao Wajumbe ni Watanzania? Nao wanalipa kodi? Lakini hayo mbona ni mafunzo, halafu unasema ndio wanaopiga kura, kwani kuna dhambi gani wakipewa elimu ya msaada wa kisheria?Wakuu,
Mbunge na Waziri wa katiba na Sheria Damas Ndumbaro akiwa Songea ukumbi wa bombambili, alitoa 'posho' ya Tsh. 20,000/=kwa Kila mjumbe.
Ambapo hao ni wapiga kura za maoni ndani ya chama kwa uchaguzi ujao.
Kwa kavideo hako ni mabalozi na wajumbe wa mabalozi ambao idadi yao ni wajumbe wapatao 4,225.
View attachment 3331450
Ni kwamba haiishii hapo, mpango ni kuwafikia wajumbe wote wa manispaa ya Songea ambao wapo takribani wajumbe 9,000.
Ilhali akitumia gari la wizara kufanya mambo hayo. Kamati za Siasa Wilayani na Mkoa mmekubali kununulika af mbili mbili? Mwanasheria anakuwa wa kwanza kutoa rushwa, aroo🤣🤣
Au ndio mambo yao tuwaachie wenyewe kama anavyosemaga Smart911 na Mahondaw tuwe sambamba mpaka wamalizane?😂 Lini hamna, inauma kodi zetu zinaenda kuliwa na wajumbe kizembe.
TAKUKURU kazi kwenu.