Kumbe ndiyo maana una watisha watu kwamba una GPA kubwa? HahahahWatu kupewa nauli sio hoja.
Unajua chochote kuhusu mgongano wa maslahi???akili finyu na kukosa maarifa ndio hufanya vijana wengi tujikute tunazungumza pasipokujitambua. Hawa wajumbe waliitwa kupewa mafunzo ya msaada wa kisheria lengo kuwahimiza kuwa wananchi wanakosa haki zao za msingi kwasababu ya baadhi ya watumishi wasiojitambua. Hivyo hawa viongozi wakawe mabalozi wazuri katika kuhakikisha Sheria za nchi zinafuatwa na wananchi wanapata haki zao msingi
Mimi nina Bima ya Afya. Hayo mengine mi sijui!Kumbe ndiyo maana una watisha watu kwamba una GPA kubwa? Hahahah
Unajua gharama za kulaza mtanzania mmoja pale muhimbili ni 50000 kwa siku?
Ati una bima ya afya . Kaulize kama bima ya afya ina cover matibabu ya Figo! Ni watanzania wangapi hao unaojidai kuwatetea hapa wanazo bima za afya?Mimi nina Bima ya Afya. Hayo mengine mi sijui!
Hujaniuliza nina Bima ya aina gani! Unafikiri natumia ya 50400 kama wewe?Ati una bima ya afya . Kaulize kama bima ya afya ina cover matibabu ya Figo! Ni watanzania wangapi hao unaojidai kuwatetea hapa wanazo bima za afya?
Ulishawahi sikia serikali ya ccm ikijadili na kufikia muafaka kuhusu bima?
Kwa hiyo wasio na bima wafe huku mkiongezeana idadi ya majimbo ?
Mm sina bima ndo mana nawapigania wasiokuwa na BIMA! Kumbe ukiwa na bima kubwa na GPA YA kutishia watu. Unakuwa mjinga kama hivi?vipi kuhusu ndugu zako, majirani , marafiki nk nao wana bima kama yako???Hujaniuliza nina Bima ya aina gani! Unafikiri natumia ya 50400 kama wewe?
Kuwa na Bima ni LAZIMA kwa kila Mtanzania.Mm sina bima ndo mana nawapigania wasiokuwa na BIMA! Kumbe ukiwa na bima kubwa na GPA YA kutishia watu. Unakuwa mjinga kama hivi?vipi kuhusu ndugu zako, majirani , marafiki nk nao wana bima kama yako???
Village Executive Officers, ni Wale watendaji wa vijiji,mitaa,KATAVEOs kirefu chake ni nini Mkuu?
Mh 🤔 si ndo amewaasa watu kulinda na kuheshim katiba? Au alikua anawazungumzia CDM sio!!Wakuu,
Mbunge na Waziri wa katiba na Sheria Damas Ndumbaro akiwa Songea ukumbi wa bombambili, alitoa 'posho' ya Tsh. 20,000/=kwa Kila mjumbe.
Ambapo wajumbe hao ni wapiga kura za maoni ndani ya chama kwa uchaguzi ujao.
Kwa kavideo hako ni mabalozi na wajumbe wa mabalozi ambao idadi yao ni wajumbe wapatao 4,225.
View attachment 3331450
Ni kwamba haiishii hapo, mpango ni kuwafikia wajumbe wote wa manispaa ya Songea ambao wapo takribani wajumbe 9,000.
Ilhali akitumia gari la wizara kufanya mambo hayo. Kamati za Siasa Wilayani na Mkoa mmekubali kununulika af mbili mbili? Mwanasheria anakuwa wa kwanza kutoa rushwa, aroo🤣🤣
Au ndio mambo yao tuwaachie wenyewe kama anavyosemaga Smart911 na Mahondaw tuwe nao sambamba mpaka wamalizane?😂 Lini hamna, inauma kodi zetu zinaenda kuliwa na wajumbe kizembe
TAKUKURU kazi kwenu.