DOKEZO PreGE2025 TAKUKURU mulikeni na kwa Waziri Ndumbaro, anapenyeza michuzi kuhonga wajumbe Songea

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Unawapa nauli kipindi hiki? Huwezi kuwa mjinga kiasi hiki Mkuu... au ndio team mama anatosha, mama hana deni?🤣🤣🤣
Acha ukuda wewe kanisani au msikitini hautoi Sadaka?
 
Kwamba hiyo astaili takukuru kufanya uchunguzi wa rushwa?
Kuchunguza nini yule maaskofu na mashekhe wanapopewa mamillion kuna Takukuru anaeingilia kati? Kumbuka Ndumbaro anamuwakilisha Ushungi
 
Usiogope!

Bungee lijalo litajaa vijana wapya wengi!

Mpango ni kuwaondoa wakongwe,kina mkuchika lazima waigwe Kwa mfano na kuenziwa ndani ya chama!!

Subiri mchujo utaona!!
 
Wajumbe kuleni hizo hela.
 
Kwani hao Wajumbe ni Watanzania? Nao wanalipa kodi? Lakini hayo mbona ni mafunzo, halafu unasema ndio wanaopiga kura, kwani kuna dhambi gani wakipewa elimu ya msaada wa kisheria?
Mafunzo hayo yamefanyika karibu nchi nzima, je nako Ndumbaro anagombea kwenye hayo majimbo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…