DOKEZO PreGE2025 TAKUKURU mulikeni na kwa Waziri Ndumbaro, anapenyeza michuzi kuhonga wajumbe Songea

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Dkt ndumbaru waziri wa katiba na sheria yupo kutoa mafunzo ya Msaada wa kisheria kupitia kampeni ya mama samia legal aid campaign,wew unachofanya ni kupotosha watu.
 
akili finyu na kukosa maarifa ndio hufanya vijana wengi tujikute tunazungumza pasipokujitambua. Hawa wajumbe waliitwa kupewa mafunzo ya msaada wa kisheria lengo kuwahimiza kuwa wananchi wanakosa haki zao za msingi kwasababu ya baadhi ya watumishi wasiojitambua. Hivyo hawa viongozi wakawe mabalozi wazuri katika kuhakikisha Sheria za nchi zinafuatwa na wananchi wanapata haki zao msingi
 
Unajua chochote kuhusu mgongano wa maslahi???
 
Mimi nina Bima ya Afya. Hayo mengine mi sijui!
Ati una bima ya afya . Kaulize kama bima ya afya ina cover matibabu ya Figo! Ni watanzania wangapi hao unaojidai kuwatetea hapa wanazo bima za afya?
Ulishawahi sikia serikali ya ccm ikijadili na kufikia muafaka kuhusu bima?
Kwa hiyo wasio na bima wafe huku mkiongezeana idadi ya majimbo ?
 
Hujaniuliza nina Bima ya aina gani! Unafikiri natumia ya 50400 kama wewe?
 
Hujaniuliza nina Bima ya aina gani! Unafikiri natumia ya 50400 kama wewe?
Mm sina bima ndo mana nawapigania wasiokuwa na BIMA! Kumbe ukiwa na bima kubwa na GPA YA kutishia watu. Unakuwa mjinga kama hivi?vipi kuhusu ndugu zako, majirani , marafiki nk nao wana bima kama yako???
 
Mm sina bima ndo mana nawapigania wasiokuwa na BIMA! Kumbe ukiwa na bima kubwa na GPA YA kutishia watu. Unakuwa mjinga kama hivi?vipi kuhusu ndugu zako, majirani , marafiki nk nao wana bima kama yako???
Kuwa na Bima ni LAZIMA kwa kila Mtanzania.
 
Hivi siku hizi ni ruhusa kiongozi wa CCM kutumia gari la wizara ambalo ni mali ya walipa kodi kwenye shughuli za chama.

Ndio kuupiga mwingi huko eh?
 
Mh 🤔 si ndo amewaasa watu kulinda na kuheshim katiba? Au alikua anawazungumzia CDM sio!!
 
nimepitia mkeka huu kuna mambo nimejifunza sana. Mleta hoja alikuwa anataka kutufumbua macho ya hali ya hovyo inavyofanyika hapa songea. hivi kweli fedha za serikali leo hii zinaenda kutumika kwenye kampeni waziwazi na sisi tunajifanya hatuoni? nani atatufumbua macho? unajua wakati wakikwete mimi nilikuwa naona ndugu Eliakim Maswi kama kiongozi imara ambaye kwake mambo ya kufuja kwa fedha za umma alijitabainisha hawezi kushiriki. niliamini hivyo lakini sasa napata wasiwasi kwa nini magufuli hakumwamini. katibu mkuu mzoefu sana mwenye weledi anawezaje kuruhusu fedha za serikali zikagawiwe kwa wajumbe kama njugu bila woga? anajua kabisa maana ya kaguzi vizuri. halafu Ndumbaro ukiikiliza maelezo yake anasema amepewa hela na mama akagawe kwa wajumbe. hivi ndumbaro hamuogopi viongozi wakubwa kwakiwango hiki? hawa ndio wanachafua serikali hawa. ni busara mikutano yakeikafuatiliwa kwa maslahi mapana ya taifa. huwezi kukusanya wajumbe wa mkutano mkuu tu halafu useme sio kampeni.na jambo baya kutumia majina ya viongozi na kusema umetumwa. acheni viongozi waache alamasafi kwa watanzania msiwaharibie. kwenye hili ukijitetea unazidi kuchafuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…