Hapo kwenye kiburi na dharau ni tatizo kubwa sana kwa wanawake walioajiriwa kwa mlango wa panya. Yaani anawaona nyie wengine kama takataka na ninahisi hicho ndicho kilichofanya mnyetishaji huyo kukupa taarifa kama hizo, kutokana na hasira.
Swala la mtu kupewa pesa nyingi nje ya scheme, kukosa cheti fulani, kufanya kazi amabayo hajaisomea, na mahusiano na bosi, vyote hivi watu wangevipotezea tu maana havina maana kwao, lakini kuwa onyesha dharau mpaka kufikia kupiga mtu, inatia hasira sana hasa ukizingatia mambo niliyoorodhesha hapo juu.
Mnyeti yuko sahihi kukupa hizi habari na mtoa mada upo sahii kuziweka wazi hapa.
Sent using
Jamii Forums mobile app