TAKUKURU na CAG fuatilieni hili la Mkurugenzi wa UCC

TAKUKURU na CAG fuatilieni hili la Mkurugenzi wa UCC

Hii inaitwa second hand information, umeambiwa na ww unatuambia, swali, Takukuru wakikuambia uthibitishe hii taarifa upo tayari ?? Takukuru wanafanya kazi scientifically , mtoa taarifa ndie anaeithibitishia, upo tayari ?
Huyu ni wivu tu.
Kwani kuna sheria inazuia mtu kufanya kazi na mke au mpenzi wake,?
Yeye mke wake au mume wake kampata wapi? Kama sio shule,chuo au mahala pa kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni taasisi
Sasa kwenye taasisi mmeanza leo kuyasikia hayoo? Na je kwani Dr siyupo chini ya bodi ya wakurugenzi? Mbona msilaum bodi nzima?. Tulizeni mshono kama hamna viwango kuleni hicho mlichojariwa na muumba## wambili havai 1.
 
Dah Maisha haya, una degree na CPA mshahara 2.8mil.. Itafika mahali vijana hawata ona umuhimu wa kusoma tena..
Mkuu hata nimeshangaa Sana yatu watu Wana mavyeti makubwa na mavyeo makubwa halafu mshahara haufiki hata 3.0m dah nimechoka kabisa.
Ukiwakuta mtaani wamepigilia masuti na matai yao utawaogopa na kuwapitia mbali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Mimi pia sijakaa kwenye ajira rasmi....ila maisha Haya ,yaani PhD..CPA mil 2.5? ,PhD nilijua huko mil 4 au 5 !!!! Miaka yote ya kisomo ......au kuna benefit zingine
 
We unaona huo ni mdogo?

Sent using Jamii Forums mobile app

Miaka ya kukaa darasani na kuitafuta hiyo kazi halafu unaenda kulipwa 2.8mil sio fair na ndio maana wasomi wanadharaulika mitaani na vijana hawaoni umuhimu wa kusoma sasa maana hizo figure huku uraiani kijana wa veta na machinga anaitengeneza..

Huo ulipaswa kuwa mshahara wa kijana mwenye certificate ya accountant na elimu ya form six, diploma na degree + CPA walipaswa kulipwa kuanzia 5mil kuendelea.. Watu wakiwa wezi mnalalamika..
 
Unaijua JF? Miaka ile scandals kubwa zilipostiwa hapa! Kuna faida ya kupost hapa
Mi nadhani ungepeleka ushahidi Takukuru kuliko kuandika humu ni kuzalilishana tu nachokiona, msigeuze JF ionekane kama ni kijiwe cha mtu kuandika mabaya na kutaja Majina ya watu tuwe tunapeleka hayo mambo idara husika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alijua namna ya kujieleza na msimamo wakudai malipo maana wengine ukiulizwa anadhani mshahara utahitaji kiasi gani unasema wowote! Hafu mnabaki kuchungulia na kufungua salary slip za wenzenu nakuanza kupika majungu km haya ooh anatoka na bosi ooh mweupe oooh anainyeee ooh ananyodo. Kama kunawakati muhimu ktk kazi nikujua masrahi yako be4 na kujiamini kudai kile unachoamini kitakufanya uipende kazi yako. Nyie mnaopiga kelele mliliwa siku yakuulizwa mshahara wengine hata hawaulizi anadubiri mwisho wa mwezi .ndo kundi hili lawapika majungu.
Baada ya kuuliza kumbe anajuana na BOSS.
 
Mtu mzima akumbushwi picha ktk uzi kama huu....

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Hapo kwenye kiburi na dharau ni tatizo kubwa sana kwa wanawake walioajiriwa kwa mlango wa panya. Yaani anawaona nyie wengine kama takataka na ninahisi hicho ndicho kilichofanya mnyetishaji huyo kukupa taarifa kama hizo, kutokana na hasira.

Swala la mtu kupewa pesa nyingi nje ya scheme, kukosa cheti fulani, kufanya kazi amabayo hajaisomea, na mahusiano na bosi, vyote hivi watu wangevipotezea tu maana havina maana kwao, lakini kuwa onyesha dharau mpaka kufikia kupiga mtu, inatia hasira sana hasa ukizingatia mambo niliyoorodhesha hapo juu.

Mnyeti yuko sahihi kukupa hizi habari na mtoa mada upo sahii kuziweka wazi hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nadhani ungepeleka ushahidi Takukuru kuliko kuandika humu ni kuzalilishana tu nachokiona, msigeuze JF ionekane kama ni kijiwe cha mtu kuandika mabaya na kutaja Majina ya watu tuwe tunapeleka hayo mambo idara husika.
Hapa ndio mahai pake. Kama na wewe unafaidika namna moja au nyingine jipange mambo yameanza kiharibika.

Kesho job ukiona sura ambazo huzijui tokea mlango wa nyuma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom