TAKUKURU na CAG fuatilieni hili la Mkurugenzi wa UCC

Hawa unakuta waliingia kazini wakiwa na vyeti vya form 6 na wamechelewa kujiendeleza sana kwenye taasisi za serikali haya mambo yapo sana mfano mwaka 2011-2012 Associate Professor vyuo vya serikali alikua analipwa 4-5m na hapo hadi unakua associate professor mtiti wake ni mkubwa sana
Salary za tanzania hazipo sawa kabisa,namjua dogo flani hivi fresh from Chuo kaanza kazi analipwa 5m.
 
Mi nadhani ungepeleka ushahidi Takukuru kuliko kuandika humu ni kuzalilishana tu nachokiona, msigeuze JF ionekane kama ni kijiwe cha mtu kuandika mabaya na kutaja Majina ya watu tuwe tunapeleka hayo mambo idara husika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama umeweza kuitaja au kuifaham TAKUKURU NA OFICE YA CAG kwanini hayo maelezo usingepereka huko badara ya kuja kutaja watu hum jf? Mi naona wewe umetumwa, kwa mtu aliesoma uzi huu kwa makini amefundua nia ya mtoa uzi nikuchafuana na kuharibiana cv, yawezekana ulienda takukuru na kwa CAG ukagonga mwamba umeamua kuja jf kuchafua watu! Ushauri wangu kila bosi anabosi wake mgepereka hilo jambo hta ktk bodi ya wakurugenzi km mmeshindwa au mmepuuzwa kule takukuru na kwa CAG.
 
Hebu angalia nilichokiandika na wewe ulichonitag nashindwa kukuelewa hapo unaniambia mimi au aliyeleta uzi?
 
Aiseee yaani kuna habari na umbea...Hiii habari ni kama ilivyo haina chumvi wala sukari ...Huyo Dada mweupe sana kichwani na anaendelea kumshauri jamaaaa vibaya balaaa ndio maana kila kukicha mezani kwa Dr. Minja kuna wito wa kuitwa kuhudhuria mashauri ya kisheria ( Samasi) kibao.

Huyu Dada (FAM) ana nyodo kibao na anamshauri jamaa vibaya sana ndio maana badhi ya wafanyakazi waliobakishwa baada ya Retrencment ambayo haikufuata matakwa ya haki na kisheria bado wanaendelea kuteswa ikiwa wanasimamia misimamo ya kutendewa haki mahala pa kazi. Wako baadhi ya wafanyakazi waliotengwa kutokana na misimamo yao ya kudai haki mahala pa kazi na yote hiyo ni kutokana na ukihiyo wa huyo dada katika masuala ya utawala na rasilimali watu....Kuna mjumbe mmoja alikuwa kwenye hiyo kamati ya ajira ambaye kwa sasa amestaafu anaweza kuwa msaada mkubwa kutoka ushaidi juu ya kubebwa kwa huyo kihiyo FAM katika interview yake.

Dr. Minja mwenyewe ni mjeuri hashauriki na pia ni mbabe ndio maana kampuni imebakiza jina tuu kuzikwa, ulishawahi kuona wapi kampuni inayotakiwa kujiendeshea kiushindani ina siku maalum za kupeleka barua za kiofisi na muda maalum na barua yako mpaka ije kujibiwa inachukua karne moja...Kweli???????..... katika ushindani huu wa kibiashara na hali ngumu ya uchumi, ukiwa na mawazo mbadala unaonenekana mjeuri na kuanza kutafutiwa visa na unawjikuta unafundisha mjini kama mtani wangu toka Kigoma...He he haaaaa au ukiwa na wazo zuri la kuleta biashara ndani ya kampuni unataka kumuona Dr. Minja inakuwa kama vile ile uko mererani unaitafuta Tanzanite???
Ukitaka kujua ukweli na uongo kwa mtu anaelalamika! Utamjua wakati wa kujieleza hawezi kuzungumzia issue husika tu. Huwa anaacha hoja anaanza kuokoteza maneno ambayo hayamo kwenye hoja. Unaposema mweupeee ana nyodooo mara kwenye meza ya Dr kumejaa wito nk hii nikutapatapa. Haya nimajungu. Ingekuwa kweli ungeifanya kimyakimya hata wao wasingejua. Ila mimi naona mlishafanya majungu yenu mkashindwa mmejipanga kuja jf kuwachafua hawa watu. Dr na nkwaya PIGENI KAZI HATOKI MTU.
 
Heshima kwenu wana jamiiforums,

Nimepenyezewa taarifa zinazohusu mazingira ya rushwa na matumizi mabaya ya madaraka yanayofanywa na mkurugenzi wa kampuni ya chuo kikuu cha Dar es salaam iitwayo University of Dar es Salaam Computing Centre (UCC), Dr. Ellinami Minja.

Nimeona ni vyema niliseme hili ili vyombo husika vichunguze na kubaini ukweli wa jambo hili. Serikali yetu inapinga kwa nguvu zote rushwa za aina zote (fedha na ngono) na matumizi mabaya ya madaraka na hasa katika taasisi za umma.

Nisiwachoshe niende moja kwa moja kwenye hoja niliyopenyezewa.

Ni kwamba Dr. Ellimani Minja ambaye ni Mkurugenzi wa UCC inasemekana alitumia madaraka yake kumwajiri mwanamama aitwaye Nkwaya Esther Kipilyango. Mwana mama huyu inasemekana ana mahusiano yenye kutia mashaka na mkurugenzi huyo, Mnyetishaji anasema, mahusiano yao yalianza tangu wakati anasoma pale chuo kikuu cha Dar es salaam, shule ya Biashara (UDBS) na Dr. Minja ni mwalimu anayefundisha pale UDBS.

Kwa kutumia madaraka yake alimwajiri na kumpa mshahara mkubwa tofauti na kiwango cha Elimu (Academic Qualifications) alichonacho. Nkwaya Esther Kipilyango ni mhasibu mwenye Bachelor of Commerce (GPA 2.9) aliyopata mwaka 2007 kutoka shule ya biashara, chuo kikuu cha Dar es salaam (UDBS). Baadae May 2015 alifanya mitihani ya CPA na kupewa cheti. Bado hajawa mwanachama kamili kwenye hiyo taaluma (full membership of the profession). Hana elimu nyingine zaidi ya hii kwa mujibu wa mtoa taarifa.

Taarifa zinasema kuwa Mkurugenzi huyu kwa kutumia madaraka yake alimpendelea mwana mama huyu na kumpa mshahara ambao uko nje ya scheme of services. Kwa mujibu wa mtoa taarifa alisema, mshahara wa juu kabisa (senior officers) kwa kada ya wahasibu (senior Accountant) na maafisa utumishi na utawala (Senior Human Resources and administrative officers) kwa mujibu wa scheme of service ya UCC ni TZS 2,865,000/-. Lakini mwanamama huyu alipewa mshahara wa milioni tatu na laki saba (3.7 million).

Mtoa taarifa alitoa mfano kuwa kuna wahasibu ambao wameajiliwa siku nyingi ambao wanamzidi ama wanalingana kiwango cha elimu lakini wanalipwa chini ya milioni 2.5. Hata mhasibu mkuu (Chief Accountant) ambaye naye ana CPA mshahara wake hauzidi milioni 2.5. Swali la kujiuliza iliwezekanaje huyu alipewa mshahara wa milioni 3.7 wakati hana sifa za ziada. Kama sababu ni kuwa mkuu wa idara, mbona kuna mkuu wa idara ambaye ana PhD na yuko kwenye senior position kwa zaidi ya miaka 18 kama mkuu wa idara, lakini mshahara wake hauzidi milioni 2.8.

Namna alivyoajiliwa UCC:

Mnyetishaji aliendelea kusema kuwa mwishoni mwa mwaka 2018, Mkurugenzi wa UCC alitangaza kazi nafasi ya Finance and Administration Manager (FAM). Nkwaya Esther Kipilyango alikuwa miongoni wa watu waliofanyiwa usaili (interview). Pamoja na kwamba kuna kamati ya ajira (recruitment committee), lakini Dr. Minja alidai kuwa kwa nafasi ya FAM interview inatakiwa ifanywe na yeye badala ya kamati ya ajira. Mkurugenzi huyu akaunda kamati ndogo yeye ndo akawa mwenyekiti wa kamati. Waliitwa waombaji watatu (3) kwa ajili ya interview akiwepo Nkwaya Kipilyango. Mwombaji mmoja alihudhuria interview ya kwanza ambapo ya pili hakufika yaani negotiation ya mshahara.

Inasemekana Nkwaya Kipilyango hakufanya vizuri kwenye usaili (interview) maana alipobanwa maswali na wajumbe wengine alifika mahala akatoa kilio. Alipoulizwa kwa nini unalia akajibu kuwa ana “Domestic problems” ndiyo maana ameshindwa kujibu maswali mengine kwa kuwa hayuko vizuri kisaikolojia na kwamba ana matatizo ya kifamilia. Wajumbe wengine walisema kuwa kwa sifa alizonazo hatoshi kwenye nafasi aliyoomba ya Finance and Administration Manager, kwa kuwa hajasomea mambo ya Human resources management and administration. Lakini Dr. Minja kwa kuwa ndo alikuwa mwenyekiti alidai kuwa CV ya Kipilyango inaonyesha ana Master ya Business Administration in Human Resources Management japo hapakuwepo na cheti cha kudhibitisha. Aliwashawishi wajumbe kuwa anamfahamu na kwamba anafundishika (trainable). Kwa maoni yake aliona kuwa huyo ndo anafaa kuwa FAM, japokuwa naibu mkurugenzi wake alisema wazi kuwa huyu hatatufaa kwenye nafasi hii, na mwisho walikubaliana na maoni ya mkubwa kwa kuzingatia kuwa mkubwa hapingwi.

Mtoa taarifa anaendelea kusema kuwa Mkurugenzi (Dr. Minja) alijua kabisa asiposimamia usaili pengine angepewa mtu mwingine ajira hiyo. Mkurugenzi alitumia madaraka yake akaicheza karata vizuri ili kuhakikisha Nkwaya Esther Kipilyango anaipata hiyo kazi. Mtoa taarifa anasema pia kuwa mwanamama huyu alidanganya wakati wa interview na kwenye CV kuwa ana MBA in Human Resources management, cha ajabu ni karibu miaka miwili kashindwa kuwasilisha cheti hicho na mkurugenzi yuko kimya kwa hilo.

Wafanyakazi wamekuwa wakihoji kuwa;
  • Kwa nini apewe mshahara mkubwa ambao haulingani na elimu yake
  • Je kuna scheme of services nyingine ambayo mkurugenzi huyu anaitumia
  • Kwa nini anafanya kazi za Human resources management and administration wakati hajawahi kusomea kazi hiyo. Wakati huo huo kuna watumishi ambao wana masters na wamesomea kazi hiyo.
Hoja hizi zilimfanya mwana mama huyu kuanza kusoma MBA in Human Resources management. Inasemekana anaendelea na masomo ya jioni. Lakini kufanya hivo hakutaondoa ukweli.

Inasemekana kuwa mwana mama ana kiburi na dharau ya hali ya juu kwa watumishi wengine. Mnyetishaji amesema atanipa taarifa kamili kuhusu swala la kunyanyasa watumishi na hata wakilalamika kwa mkurugenzi hawasilikizwi na kwamba alipoajiriwa tu hakumaliza miezi miwili akampiga mfanyakazi. Mtoa taarifa alitaja jina moja la mtu aliyepigwa kuwa ni ndugu Michael.

Nimeamua kusaidia kuweka taarifa hii wazi ili TAKUKURU na ofisi ya CAG wafanye uchunguzi kubaini ukweli kama;
  • Mkurugenzi alitumia madaraka yake vibaya kuhakikisha kuwa mwanamama huyu anamwajiri bila kuwa na sifa husika
  • Kulikuwa na upendeleo katika kumwajili mwana mama huyu
  • kuna upendeleo wa kupewa mshahara asiostahili na kwa nini uko nje ya UCC scheme of services
  • Je ni kweli ana MBA na cheti anacho kama ilivyoandikwa kwenye CV yake.
  • Kamati ya ajira haikuhusishwa
  • Mwana mama huyu anatisha wafanyakazi na wakati mwingine kuwapiga
Kwa kuwa TAKUKURU na ofisi ya CAG wana utaalamu mkubwa wa kiuchunguzi wataweza kupata ukweli juu ya tuhuma hizi dhidi ya mkurugenzi wa UCC.

Uzi unaofuata nitawaletea kwa undani baada ya kukusanya taarifa za kutosha kuhusu mfanyakazi anayelipwa kwa dola kama expert kutoka nje wakati ni mtanzania. Yajayo yanafurahisha.
Aisee wapare wanapenda sana chini.
Hapo Dr Minja kashamvua mtu chupi

Naaa ila acheni wivu bwana.
Mbona rais kampa joketi ukuu wa wilaya na hamjahoji au ni wivu tuuuu?

Na kingine.
Mbamuweka max melo kwenye wakati mgumu

Ile kesi ya kituo cha mafuta kuiibia serikali kodi haijaisha.
Mkaleta rushwa na ngono Mbeya hospitali.
Ya mbeya haijaisha mmeleta nondo zingine za UDSM kudadek.
Mutamuua maxi melo
 
Hebu angalia nilichokiandika na wewe ulichonitag nashindwa kukuelewa hapo unaniambia mimi au aliyeleta uzi?
Sasa wewe unavyomwambia km bandiko hilo halitafanyiwa kazi ifikapo febr 2020 aku pm hayo yote nimajungu, km unahusika nauzuri ofice zte anazijua mwelekeze achukue hatua hata leo, nyie mmebaki kutishatisha watu eti aku pm! CAG na takukuru nivyombo vya serikari havifanyii kazi mambo ya mtandao na Dr pamoja na nkwaya kuweni makini mnaweza kufuatwa na MATAPERI wakifatiria issue hii ya jf wakisema ndo chanzo, wakija fungia ndani ita police. Huu uzi unaweza kuwa chanzo cha utaperi. Xmas hii.
 
1. Mama atakua mnoko
2. Mama atakya na maendeleo kuzidi wenzake huku wenzake wakidhanu ni hiyi 3.7m
3.Mama amechuku bwana wa mtu
 
Haha hahaha hahaha hahaha !!!! Amemwaga Mboga Mnamwaga Ugali ? 😀 😀 😀 😀 😀
 
Hii ni hatar zaidi ya sn nadhani @NAOT na @TAKUKURU wataipata hii na wataifanyia kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa wewe unavyomwambia km bandiko hilo halitafanyiwa kazi ifikapo febr 2020 aku pm hayo yote nimajungu, km unahusika nauzuri ofice zte anazijua mwelekeze achukue hatua hata leo, nyie mmebaki kutishatisha watu eti aku pm! CAG na takukuru nivyombo vya serikari havifanyii kazi mambo ya mtandao na Dr pamoja na nkwaya kuweni makini mnaweza kufuatwa na MATAPERI wakifatiria issue hii ya jf wakisema ndo chanzo, wakija fungia ndani ita police. Huu uzi unaweza kuwa chanzo cha utaperi. Xmas hii.

Hakuna mahali nilipoandika kuwa halitafanyiwa kazi hebu kasome vizuri nilichokuwa naandika,
 
Mi nadhani ungepeleka ushahidi Takukuru kuliko kuandika humu ni kuzalilishana tu nachokiona, msigeuze JF ionekane kama ni kijiwe cha mtu kuandika mabaya na kutaja Majina ya watu tuwe tunapeleka hayo mambo idara husika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujitambui ww mambo km haya ni lazima yawekwe hadharani ili jamii itambue kwasabu hapa iliyokosewa ni jamii na co Takukuru

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo UCC wamejaa Ishomile na huyu MD wao ni Mangi, nakuambia huyo mama lazima ataondoka tu.
Ishomile na ma -PHD wanalipwa < 2.8 ni bora nikalime zangu au nikaweke kijiwe cha kahawa pale Posta au nje ya Bunge Dodoma.
 
Hujitambui ww mambo km haya ni lazima yawekwe hadharani ili jamii itambue kwasabu hapa iliyokosewa ni jamii na co Takukuru

Sent using Jamii Forums mobile app

We kilaza sana, taasisi zipo ili kufanyia kazi matatizo yanayojitokeza katika taasisi za serikali, angekuwa na ushahidi naamini angepeleka katika hizo malamka lakini kwa kuwa anasema kapenyezewa naiona kama ni udaku tu huu.
 
Back
Top Bottom