TAKUKURU na CAG fuatilieni hili la Mkurugenzi wa UCC

TAKUKURU na CAG fuatilieni hili la Mkurugenzi wa UCC

Hii habri imejaa uwongo na wivu mkubwa kwa wahusika, salary scheme ya UCC ipo wazi kwa wafanyakzi wote, kuhusu Interview sioni tatizo maana kama ilifanyika maamuzi ni ya wajumbe na siyo ya mwenyekiti labda kdg kuhusu vyeti vyake lkn pia siyo lazima maana kama ana hiyon degree bado anastahili nafas.Kuwa na vyeti haimaanishi ndy kupewa uboss na wengine waolewe.Watz tuache wivu na masengenyo kwa wenzetu pindi wakifanikiwa

Watz
 
Mbona mnataka kumuharibia kazi uncle wangu any way uncle kama ni kweli basi kunashida ila nakuamini sana sana kwenye uwadilifu.
 
Wacha kelelele...hapa wahusika wapo watalisoma na kulifanyia kazi.mnafanya ofisi za umma kama mali za mama zenu!
Mi nadhani ungepeleka ushahidi Takukuru kuliko kuandika humu ni kuzalilishana tu nachokiona, msigeuze JF ionekane kama ni kijiwe cha mtu kuandika mabaya na kutaja Majina ya watu tuwe tunapeleka hayo mambo idara husika.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swala lililopo afanye kazi kulingana na vyeti vayake Kama wanataka mtu wa CPA na MBA na hana sifa hizo basi ang'oke.
Kwa document nilizopewa ana sifa ya kuwa muhasibu siyo ile nafasi. aliyofanyiwa chepuo, mbaya zaidi mshahara uko nje ya viwango vya mishahara. vilivyoidhinishwa na Bodi
 
Mshahara mdogo Sana huo mnaanza kulumbana lumbana humu Jf
Mkuu issue hapa si mshahara mdogo bali ni ukiukwaji wa taratibu. kila taasisi ina taratibu na miongozo yake. Taratibu zilivunjwa ili kumpendelea mwana mama huyo. Kuna nini kimejificha hapo. Hiyo ndo hoja
 
Dah Maisha haya, una degree na CPA mshahara 2.8mil.. Itafika mahali vijana hawata ona umuhimu wa kusoma tena..
Vipi mkuu ni kubwa au ndogo? Mimi nimeona kuana senior officers hapo wanakula 2.8m
 
AIseeeeeeeeeeeee Phd ,Experience 18 yrs ,Salary < 2.8m??
Hawa unakuta waliingia kazini wakiwa na vyeti vya form 6 na wamechelewa kujiendeleza sana kwenye taasisi za serikali haya mambo yapo sana mfano mwaka 2011-2012 Associate Professor vyuo vya serikali alikua analipwa 4-5m na hapo hadi unakua associate professor mtiti wake ni mkubwa sana
 
Hii habri imejaa uwongo na wivu mkubwa kwa wahusika, salary scheme ya UCC ipo wazi kwa wafanyakzi wote, kuhusu Interview sioni tatizo maana kama ilifanyika maamuzi ni ya wajumbe na siyo ya mwenyekiti labda kdg kuhusu vyeti vyake lkn pia siyo lazima maana kama ana hiyon degree bado anastahili nafas.Kuwa na vyeti haimaanishi ndy kupewa uboss na wengine waolewe.Watz tuache wivu na masengenyo kwa wenzetu pindi wakifanikiwa

Watz
Mkuu mbona povu linakutoka. hebu tusaidie kutupa ushahidi unaodai ni kweli kudhibitisha kuwa kilichosemwa ni uongo.. Au wapelekee TAKUKURU na ofisi ya CAG uwaambie au uwape ushahidi utakaothibitisha kuwa kilichosemwa ni uongo.

Hoja hapa ni kwamba kuna taratibu na mingozo ya kitaasisi imekiukwa ili kumpendela huyo mwana mama na kwamba kufanya hivo ni matumizi mabaya ya ofisi
 
Mbona mnataka kumuharibia kazi uncle wangu any way uncle kama ni kweli basi kunashida ila nakuamini sana sana kwenye uwadilifu.
Mkuu msaidie uncle wako kwa kwenda kutoa ushahidi kuwa ni mwaminifu na mwadilifu. Kama ni mwadilifu kwa nini akiuke taratibu na miongozo ya kitaasisi ?
 
Wacha watu wapaze sauti.mnaajiri mademu/ndugu zenu watu wanasota mtaani na vigezo wanavyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hujui kabla haijaqnzishwa TUME YA AJIRA maeneo mengi serikalini watu walikuwa wanabebana tu kwa kuajiri vijana wanaowafahamu, ndugu zao au jamaa zao nk, ni bahati mhaya tu vijana mlioanza kazi juzi hamkupitia mkapitia tume ya ajira mnazani mambo yalikuwa hivyo,
 
Back
Top Bottom