Sweet16
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 5,314
- 9,215
PhD kweli miaka 18 ya job apate 2.8 acha uongoAIseeeeeeeeeeeee Phd ,Experience 18 yrs ,Salary < 2.8m??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PhD kweli miaka 18 ya job apate 2.8 acha uongoAIseeeeeeeeeeeee Phd ,Experience 18 yrs ,Salary < 2.8m??
Makazini kuna mengi sana hata biashara ni ivo ivo kumwagiana mboga mara TRAUkisikia kujiajiri ni kuzuri, ni kwa sababu ya mambo kama haya.
Makazini kuna wengine wanarogana, wengine wanakutakia ufe hata kesho.
Waliostaafu bila matatizo wana raha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Biashara ngumu mkuu, anajipanga kwanzaHiyo PhD Si bora angeenda kulima korosho mtwara, angepiga hata million 60 kuliko kujidhalilisha kiasi hicho
Issue hapa mkuu ni taratibu kukiukwa. Angelipwa hata 10M hakuna shida kama miongozo ipoYaani huyo maama aligraduate in 2007 na ni certified accountant, alafu mnataka alipwe 2.8. Acheni roho mbaya bwana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anayejua hilo mkuu ni yule anayemshika churaAmeuliza Chura
Nathani alikuwa na maana ya "Family Problems". Lugha ngongani mkuuNimecheka sana eti "ana domestic problem", ndio kitu gani iyo mkuu?
Kwa wanaume wa huo mkoa, kupigwa ni kawaida sana kwaonimecheka huyo mama kuwapiga wafanyakazi wanaume...
huyo michael mbona mzembe sana.. anapigwa na mwanamama kazini
Maadili ya kazi hayaruhusu mkuu kupigana kazini. Inawezekana hekima ilimwongozanimecheka huyo mama kuwapiga wafanyakazi wanaume...
huyo michael mbona mzembe sana.. anapigwa na mwanamama kazini
Mkuu ni wanaume wa mkoa gani wanaopigwa na wanawake
Jibu murua kabisa
Wahusika ndo wameamua. Mimi ni mjumbe hauwawi. Mamlaka husika ndo itajua kama meza imepinduliwa au imefunikwaUmeamua kupindua meza
JF inasaidia sana kwa vyombo vya serikali kupata taarifa na kuzifanyia kazi. Lakini pia ni microphone na speaker ya wanyonge.Kwa style hii ya "Mwaga mboga ni mwage ugali" ndiyo maana JF inaangaliwa kwa jicho la karibu sana...
Uwepo wa JF ubarikiwe sana... Ngoja tuone...
Cc: mahondaw
Kinaenda mlama kivipi mheshimiwa