Mkuu issue hapa si mshahara mdogo bali ni ukiukwaji wa taratibu. kila taasisi ina taratibu na miongozo yake. Taratibu zilivunjwa ili kumpendelea mwana mama huyo. Kuna nini kimejificha hapo. Hiyo ndo hoja
Umenena vyema mkuu. Wanaodai kuwa ni uongo ni vyema wakatoa ukweli wanaoujua. Lakini facts zitabaki pale pale. Mimi naamini TAKUKURU na CAG wanajua majukumu yako na ni wabobezi. Ukweli wataupataHapo kwenye kiburi na dharau ni tatizo kubwa sana kwa wanawake walioajiriwa kwa mlango wa panya. Yaani anawaona nyie wengine kama takataka na ninahisi hicho ndicho kilichofanya mnyetishaji huyo kukupa taarifa kama hizo, kutokana na hasira.
Swala la mtu kupewa pesa nyingi nje ya scheme, kukosa cheti fulani, kufanya kazi amabayo hajaisomea, na mahusiano na bosi, vyote hivi watu wangevipotezea tu maana havina maana kwao, lakini kuwa onyesha dharau mpaka kufikia kupiga mtu, inatia hasira sana hasa ukizingatia mambo niliyoorodhesha hapo juu.
Mnyeti yuko sahihi kukupa hizi habari na mtoa mada upo sahii kuziweka wazi hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
AIseeeeeeeeeeeee Phd ,Experience 18 yrs ,Salary < 2.8m??
Issue kubwa hapa ni ukiukwaji wa taratibu na matumizi mabaya ya madaraka. mazingira yanatia shaka. Ilikuwaje apendelewe kiasi hicho tena nje ya viwangi vya mishahara iliyopitishwa na bodiMkuu Fanfa, kwa hiyo kulingana na taratibu zilizopo tatizo hapo siyo cheo cha huyo dada bali ukubwa wa mshahara wake?
Mkuu ni sababu ya ugumu wa maisha. Mhutumie tuNi kweli tena kang'ang'ania hapo ucc utadhani kagongewa misumari. Naona hanaga Connections
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mbona unakuja juu. Kwa nini ulifungua account JF, kwa hiyo hutaki upashwe habari. Ungejuaje kuwa kuna watu wanatumia vibaya madaraka yao. Unataka wana JF wakuimbie mapambio.Mleta uzi kitendo ulichofanya si cha kiuungwana na kinapaswa kulaaniwa, umewataja na kuwaanika huyo mama na mkuu wake kwa majina yao, kazi zao hadi viwango vya vya elimu mbele ya kadamnasi ili hali wewe umejificha nyuma ya keyboard yako. Masuala yote uliyoyasema ni tuhuma ambazo hazijathibitishwa hivyo hukupaswa kuwaweka hadharani wakati wewe jina lako na utambulisho wako umeuficha. Ni dhahiri kwamba huna nia njema, kama kweli ungekuwa na nia njema aidha ungeweka jina/utambulisho wako wewe na hao wenzako mnaowalalamikia au ungepeleka malalamiko yako moja kwa moja ofisi kuu za mamlaka kuliko kuwadhalilisha wenzako hapa wakati wewe umejificha.
Mkuu alichokwambia jamaa ni ukweli mtupu,unaesema una info zake ni innocent till proven guilty na mahakama,Mkuu mbona unakuja juu. Kwa nini ulifungua account JF, kwa hiyo hutaki upashwe habari. Ungejuaje kuwa kuna watu wanatumia vibaya madaraka yao. Unataka wana JF wakuimbie mapambio.
Kama unaona kuna uongo ni vyema ungetuambia ukweli ulivyo. Au ungeenda TAKUKURU uwaambie kuwa ukweli ni huu, kilichosemwa ni uongo. Mkuu usiwe mtetezi wa watu wanaofanya watakavyo wanapopewa madaraka.
Mkuu rudia kusoma uelewe. Kila taasisi ina muundo wake usikalili. CA ni appointment, unaweza ukatolewa lakini utabaki na cheo chako cha senior Accountant officer. Ni vyema ukaeleza ukweli wako unaoujua, wenzako wana ushahidi mkononi wewe unapiga makerere kwenye keyboard. Unataka nimwage vielelezo hapa kwenye jamvi. Mhusika ndo atasema kama ni uongo na atatoa vielelezo vyake siyo weweHii habari kuna sehemu kuna uongo...unasema senior officers wanalipwa 2.8, yeye analipwa 3.7 na CA analipwa 2.8 hapa ndipo kwenye walakini CA yaani Chief Accountant ni nafasi ya juu ya Senior Officers na pengine ni juu ya Principal Officer, iweje alipwe 2.8!!? Sawasawa na Senior Officers!? Pia mara nyingi watu wenye background za Finance na Accounts huwa wanaweza kuwa wakuu wa vitengo ama idara zenye Finance and Administration ilimradi chini yao wawe na msaidizi wa HR and Admins na Accountants. Inawezekana yanayoongelewa yapo ila kuna kupikwa sana kwa Taarifa. Nashauri Moderators waangalie habari kama hizi zenye kuwataja watu majina moja kwa moja kwani nyingine ni za kuchafuana kwa maslahi binafsi ama maslahi ya ndugu, rafiki au jamaa wa mleta mada. Taarifa kama hizi zikishaenda hewani hata kama ni uongo sio rahisi mtoa ripoti kuja hapa na kukanusha!! Hii ni defarmation na akipatikana mwanasheria mzuri hata JF wanaweza kushtakiwa kwa jambo hili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Rushwa na wizi ndio vimetawala na ndio maana baada ya mianya kubanwa wanasema vyuma vimekazaMishahara ya serikali inachekesha sana! Ila ukiwakuta mchana wanavyokula utadhani wanalipwa billions
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu point yangu ipo pale pale angalia tena maandishi yako! Umesema according to scheme of service of UCC Seniors Officers wakiwepo wahasibu na mahr hulipwa 2,865,000 lakini Chief Accountant ambaye kimsingi yupo juu ya masenior officers analipwa 2.5 m ama chini ya hapo na wakati huyo mama unayemtuhumu analipwa 3.7m huoni hapo kuna tango pori!!? Ndio maana nasema kama moderators wangekuwa smart wasingeruhusu huu upuuziMkuu rudia kusoma uelewe. Kila taasisi ina muundo wake usikalili. CA ni appointment, unaweza ukatolewa lakini utabaki na cheo chako cha senior Accountant officer. Ni vyema ukaeleza ukweli wako unaoujua, wenzako wana ushahidi mkononi wewe unapiga makerere kwenye keyboard. Unataka nimwage vielelezo hapa kwenye jamvi. Mhusika ndo atasema kama ni uongo na atatoa vielelezo vyake siyo wewe
Mkuu hujanisoma vizuri. Nimeandika senior officers kwa KADA ya Accountants na HRA officers. Scale huwa ina minimum and maximum salary. Hivyo basi max salary kwa kada hizo mbili ni 2,865,000/-. Unaweza ukawa senior accountant na ukawa hujafikia max scale. Nikaongeza kuwa CA ni appointment tu, unaweza ukanyang'anywa na akapewa mwingine na ukaendelea kuwa senior Accountant officer. Nadhani umeelewa sasaMkuu point yangu ipo pale pale angalia tena maandishi yako! Umesema according to scheme of service of UCC Seniors Officers wakiwepo wahasibu na mahr hulipwa 2,865,000 lakini Chief Accountant ambaye kimsingi yupo juu ya masenior officers analipwa 2.5 m ama chini ya hapo na wakati huyo mama unayemtuhumu analipwa 3.7m huoni hapo kuna tango pori!!? Ndio maana nasema kama moderators wangekuwa smart wasingeruhusu huu upuuziView attachment 1294323
Sent using Jamii Forums mobile app