TAKUKURU nawatafuteni katika ' Vijiwe ' vyangu Mbeya Mjini, Kawe na Kigamboni mbona siwaoni Mkiwajibika?


Kwahiyo hiyo Takukuru iko kwa ajili gani?
 
Pesa ya Gwajima anayo mwenye hiyo namba 0713942322 na kule Kigamboni huyo mwenye namba 0715481628 Deo hao na wenzao wengine ndiyo mkiwachunguza mtabaini vingi vioja kwenye kura za maoni
 
Pesa ya Gwajima anayo mwenye hiyo namba 0713942322 na kule Kigamboni huyo mwenye namba 0715481628 Deo hao na wenzao wengine ndiyo mkiwachunguza mtabaini vingi vioja kwenye kura za maoni

Ninashukuru kwa Kutangulia ' Kuniumbulia ' Watu Mkuu. Naomba tumsaidie Rais Magufuli na hawa TAKUKURU kwani sasa ' Rushwa ' inaendelea.
 
Muda si mrefu nimemuona ' Kijana ' Mmoja maarufu sana ndani ya CCM na amepewa Ukuu wa Bendi fulani fulani ndani ya Chama ametoka na Gari moja hivi aina ya Mark II wameelekea usawa wa Ofisi za Diwani Kawe na kuna Watu kadhaa wameonekana nae akiwa hapo na hilo Gari wakipanga ya Kuyapanga. Huyo ' Kijana ' kwa sasa ' ametia nia ' ya nafasi ya Udiwani japo bado ' anatamba ' kuwa akiukosa basi atakuja Kugombea ' Umeya ' wa Kinondoni na ana uhakika atashinda.

TAKUKURU mpo!
 
Endelea kubwabwaja wakati wanaume wenzio wanatafuta ugali wa familia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…