Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Mwaka uchaguzi nina jamaa yangu dereva wa bodaboda ana bendera zote za CCM,CUF na CHADEMA yy hana chama anaangalia hela kote yupo hela yako tu.TAKUKURU mkoa wa Shinyanga katika ufatiliaji wa vitendo vya rushwa kuelekea uchaguzi mkuu wa viongozi, manao tarehe 29/06/2020 majira ya saa tatu usiku mtaa wa Mwasele B nyumbani kwa Joseph Jonas Tasia ilikamata doti mia sita za vitenge zenye nembo ya Chama cha Mapinduzi na vya kawaida vikiwa vimehifadhiwa nyumbani kwake jambo ambalo linaashiria kuwa vilikuwa vinaandaliwa kutumika kufanya ushawishi kwa wapiga kura.
Aidha uchunguzi wa TAKUKURU umebaini kuwa Joseph Jonas Tasia ambaye ni mfanyabiashara wa magari madogo tax hana duka la vitenge wala hafanyi biashara ya vitenge.
Katika mahojiano na TAKUKURU Joseph Jonas alishindwa kutoa maelezo ya kutosha kuhusiana na mzigo huo wa vitenge na hata risiti za manunuzi ya vitenge hivyo hazikujitosheleza.
View attachment 1496341
Daa jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji857]CCM na rushwa ni sawa na "Sehemu za siri na nywele zake". Ni ngumu kuwatenganisha!
Doti 600 za Khanga na Vitenge vya CCM vyadakwa na TAKUKURU vikihisiwa kutaka kutumika kuwahonga wapiga kura kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020.
No commentsCCM na rushwa ni sawa na "Sehemu za siri na nywele zake". Ni ngumu kuwatenganisha!
Mzigo wa Rushwa huo. CCM bila rushwa HAIWEZEKANI.TAKUKURU mkoa wa Shinyanga katika ufatiliaji wa vitendo vya rushwa kuelekea uchaguzi mkuu wa viongozi, manao tarehe 29/06/2020 majira ya saa tatu usiku mtaa wa Mwasele B nyumbani kwa Joseph Jonas Tasia ilikamata doti mia sita za vitenge zenye nembo ya Chama cha Mapinduzi na vya kawaida vikiwa vimehifadhiwa nyumbani kwake jambo ambalo linaashiria kuwa vilikuwa vinaandaliwa kutumika kufanya ushawishi kwa wapiga kura.