Uchaguzi 2020 TAKUKURU: Ubwabwa wa Hashim Rungwe kwenye kampeni ni Rushwa

Uchaguzi 2020 TAKUKURU: Ubwabwa wa Hashim Rungwe kwenye kampeni ni Rushwa

Kweli nimeamini, kwenye vita usipuuze adui yako yeyote. Hivi kweli Hashimu Rungwe na ubwabwa wake ni tishio la kumshinda mtu yeyote kwenye kinyang'anyiro cha urais?
Tatizo jaribu kulielwa, ni Principles
Ukiruhusu rushwa ya chakula , ya ngono je?
 
Vipi na ile ahadi ya ajira za walimu wiki ijayo? Tukumbushane kidogo nani kaitoa kwa lengo gani? Kama Rungwe lengo lake ni kuwa watu washibe na wasikilize vizuri, hizi ajira nazo? Kama Rungwe asitoe ubwabwa kipindi hiki cha uchaguzi kwa nini hawa wa kijani wasilazimishwe kutoa hizo ajira mwakani sio kipindi hiki cha uchaguzi ambapo kwa sasa ni rushwa?
Mkuu una argue na irrelevancies!!!
 
Wanaona aibu nchi ya kipato cha kati wananchi wake wanakusanywa kwenye kampeni kwa wali nyama, Waache Wananchi wafaidi Maana ikipita ndio mpaka 2025
Kwa kweli umasikini kama mtaji wa kura ni dhahiri!!
 
....Tumetoa billion 2 wakulima wa pamba waanze kulipwa fedha zao. Tutaajiri waalimu elfu 13.... na haraka waziri akaelekeza kuwa waalimu waanze kujisajiri kuanzia J3 . Vipi hii ni nini?
 
Kuna mwingine ametangaza ajira za walimu akiwa jukwaani hiyo nayo inaitwaje?
 
mkuu vipi alietoa ajira 13000 ya walimu ndani ya kipindi cha kampeni unasemaje, pia umelinganisha vitu viwili tofauti ukilinganisha na uchaguzi, ngono na lishe ya kushiba wapi na wapi
Mkuu satisfying the body na ngono ni category moja hiyo!
 
Daah taabu iko pale pale,, Chuzi limekubali mambo wiiii waaaa
 
Bora kumpa kura Hashim Rungwe Mzee wa ubwabwa kuliko kumpa Magufuli aliyeleta hali ngumu ya maisha kwa Watanzania
 
Vipi na ile ahadi ya ajira za walimu wiki ijayo? Tukumbushane kidogo nani kaitoa kwa lengo gani? Kama Rungwe lengo lake ni kuwa watu washibe na wasikilize vizuri, hizi ajira nazo? Kama Rungwe asitoe ubwabwa kipindi hiki cha uchaguzi kwa nini hawa wa kijani wasilazimishwe kutoa hizo ajira mwakani sio kipindi hiki cha uchaguzi ambapo kwa sasa ni rushwa?
mkuu umeniwai tatizo makosa wanayaona wakifanya chauma lkn kosa la ccm halionekani hata kwa darubini
 
Kweli nimeamini, kwenye vita usipuuze adui yako yeyote. Hivi kweli Hashimu Rungwe na ubwabwa wake ni tishio la kumshinda mtu yeyote kwenye kinyang'anyiro cha urais?
mkuu nihiyo chama chake ni kidogo ila anasera nzuri tu ukimsikiliza
 
Back
Top Bottom