Kamukhm
JF-Expert Member
- Aug 30, 2015
- 2,801
- 4,212
Hayo mafuso wanagawiwa!? MkuuVipi wanaobebwa na mafuso kama wanaenda kuzika?
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo mafuso wanagawiwa!? MkuuVipi wanaobebwa na mafuso kama wanaenda kuzika?
Huenda hali ni tete wamepoteza kujiamini!!Wivu mpaka kwa Rungwe?
Kwa hiyo ukila ubwabwa wa Hashim Rungwe wakati wa kmpeni, basi matatizo yako ya kimaisha yametatuliwa?mkuu acha uongo msosi ni basic ukikosa unakufa vipi usipofanya ngono utakufa ?
CCM haijawahi kuwa na sera za kijinga hivyo.ubwabwa wa ccm