Kamukhm JF-Expert Member Joined Aug 30, 2015 Posts 2,801 Reaction score 4,212 Sep 5, 2020 #61 MTOCHORO said: Vipi wanaobebwa na mafuso kama wanaenda kuzika? Click to expand... Hayo mafuso wanagawiwa!? Mkuu Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
MTOCHORO said: Vipi wanaobebwa na mafuso kama wanaenda kuzika? Click to expand... Hayo mafuso wanagawiwa!? Mkuu Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mwanamageuko JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 8,604 Reaction score 5,583 Sep 5, 2020 #62 Aladeen04 said: Wivu mpaka kwa Rungwe? Click to expand... Huenda hali ni tete wamepoteza kujiamini!!
Jidu La Mabambasi JF-Expert Member Joined Oct 20, 2014 Posts 16,419 Reaction score 26,594 Sep 5, 2020 Thread starter #63 4 7mbatizaji said: mkuu acha uongo msosi ni basic ukikosa unakufa vipi usipofanya ngono utakufa ? Click to expand... Kwa hiyo ukila ubwabwa wa Hashim Rungwe wakati wa kmpeni, basi matatizo yako ya kimaisha yametatuliwa? Una malengo madogo sana kimaisha!!
4 7mbatizaji said: mkuu acha uongo msosi ni basic ukikosa unakufa vipi usipofanya ngono utakufa ? Click to expand... Kwa hiyo ukila ubwabwa wa Hashim Rungwe wakati wa kmpeni, basi matatizo yako ya kimaisha yametatuliwa? Una malengo madogo sana kimaisha!!
M mumburya JF-Expert Member Joined Mar 19, 2012 Posts 321 Reaction score 448 Sep 5, 2020 #64 ubwabwa wa ccm
Jidu La Mabambasi JF-Expert Member Joined Oct 20, 2014 Posts 16,419 Reaction score 26,594 Sep 6, 2020 Thread starter #65 mumburya said: ubwabwa wa ccm Click to expand... CCM haijawahi kuwa na sera za kijinga hivyo. Sera za CCM ni za kimkakati na endelevu.
mumburya said: ubwabwa wa ccm Click to expand... CCM haijawahi kuwa na sera za kijinga hivyo. Sera za CCM ni za kimkakati na endelevu.
Mchochezi JF-Expert Member Joined Feb 29, 2012 Posts 10,962 Reaction score 7,830 May 3, 2021 #66 Mwenda zake alimbania hadi hashim rungwe asitupe ubwabwa