Uhujumu uchumi Ina wenyewe, wengine inawakwepaTunataka kuona wako ndani ndio tuamini,makosa ya uhujumu uchumi hayana dhamana! Mbona wengine uchunguzi unaendelea wakiwa ndani?Iweje hawa uchunguzi uendelee wakiwa nje?
Double standard
Hawa jamaa wana jaribu kuihamisha Chadema kwenye kudai tume huru ya uchaguzi.Mimk najiuliza tito na mwenzie wa bila hata uchunguzi kuanza waliwekwa behind bars huyu yy licha ya mazingira ya awali kuonyesha ushahidu bado anapeta mtaani
IKO HIVIHawa jamaa wana jaribu kuihamisha Chadema kwenye kudai tume huru ya uchaguzi.
Hivi ni wangapi TAKUKURU huita waandishi wa habari na kuwaambia fulani ana kosa la jinai na bado wako mtaani.?
Ruge na Singh wako wapi? Kitilya yuko wapi? Na ushahidi haupo. Hawa jamaa ushahidi uko wazi ati wako uraiani.. Ccm eleweni Watanzania sio wajinga.
Sent using Jamii Forums mobile app
"Wakitumaliza sisi"...........CCM dhidi ya CCM. Yaani ni wao kwa wao