TAKUKURU: Uchunguzi sakata la Kangi Lugola na wenzie umekamilika. Jalada linapelekwa kwa Mwendesha Mashtaka (DPP)

TAKUKURU: Uchunguzi sakata la Kangi Lugola na wenzie umekamilika. Jalada linapelekwa kwa Mwendesha Mashtaka (DPP)

KAMA NAMWONAN KANGI ANAPATA HENNESY NAKUSEMA
#HATAHILINALOLITAPITA
 
Mimk najiuliza tito na mwenzie wa bila hata uchunguzi kuanza waliwekwa behind bars huyu yy licha ya mazingira ya awali kuonyesha ushahidu bado anapeta mtaani
Hawa jamaa wana jaribu kuihamisha Chadema kwenye kudai tume huru ya uchaguzi.
Hivi ni wangapi TAKUKURU huita waandishi wa habari na kuwaambia fulani ana kosa la jinai na bado wako mtaani?

Ruge na Singh wako wapi? Kitilya yuko wapi? Na ushahidi haupo. Hawa jamaa ushahidi uko wazi ati wako uraiani.. Ccm eleweni Watanzania sio wajinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lazima DPP apige danadana kisha ataituliza hii kitu mwanafunzi wa fulimagu tena... Jamaa alisaka hela za kampeni ki-shotkati sasa imekula kwake navile alivyowatibuaga askari hukojela wanaweza mwambiwa akate viuno siku tatu mfululizo shwain
 
Hawa jamaa wana jaribu kuihamisha Chadema kwenye kudai tume huru ya uchaguzi.
Hivi ni wangapi TAKUKURU huita waandishi wa habari na kuwaambia fulani ana kosa la jinai na bado wako mtaani.?
Ruge na Singh wako wapi? Kitilya yuko wapi? Na ushahidi haupo. Hawa jamaa ushahidi uko wazi ati wako uraiani.. Ccm eleweni Watanzania sio wajinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
IKO HIVI
Kama wanahisi UNAWEZA kuharibu ushahidii MTAANi ukaii
UKIONA wakoo free mns awana maafa makubwa kuharibu ushahidi
 
@waiba kuku mmewarundika Jela huku waliohujumu matrilioni ya wavuja jasho ambao ni Watanzania maskini mmewaacha wanajidai mtaani...


upuuzi
 
tatizo hawa waandishi wa habari wa kwetu ni makanjanja tu. Nobody posed a challenging question to the Takukur Boss!! Lugemalila, Tito, Kabendela walionyesha dalili kuwa watatoroka? Eti hawa 17 hawakuonyesha dalili za kutoroka ndiyo maana wako nje. Mlaaniwe takukuru
 
Kama ni kweli kuwa wanatuhumiwa kwa uhujumu uchumi huenda hiyo ikawa ni "Trojan Horse" tu, kuna la ziada hapo.

Mbona wale wa Lugumi hawakushitakiwa au akina Simbachawene? Hii serikali ina Double Standards sana.
 
Dah kweli kila mtu haijui kesho yake, unaweza ukawa HERO leo, kesho ukawa ZERO.
 
Mkurugenzi wa Takukuru anavaaje nguo za jeshi huku hayupo JWT tena,uu hizo ndio sare za Takukuru???
 
Kama uchunguzi umekamilika kwa asilimia zote hizo, basi hadi usawa huu hao kina Kangi na Andengenye hawana makosa makubwa sana ya kujibu...

Maana ukitazama kuna mahabusu wanaosota rumande hadi leo wakiwa na makosa ya uhujumu uchumi na kesi zao zikiendelea...
 
Back
Top Bottom