MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,701
- 71,056
Alijitahidi kutupigania walalahoi dhidi ya uonevu wa polisi hivyo nitakuwa na break kwenye kutoa maoni yangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanatuhadaa tu hamna lolote,hakuna historia ya mawaziri kuwahi kuhudumu katika wizara hii kushitakiwa moja kwa moja japokuwa ni wizara ambazo zimeishaitia hasara Taifa kwa kiasi kikubwa tu. Angalia Kitwanga,ilitengenezwa aonekane amelewa,akatolewa. Katika hali ya kawaida eti Charles aingie amelewa bungeni,siyo kweli.Wadau.
TAKUKURU wamearifu Umma kuwa Uchunguzi wa Tuhuma dhidi ya Kangi Lugola na wenzake u 17 kwa Asilimia 99.9
Jalada Husika litapelekwa kwa DPP Katika kipindi Cha Siku Saba kuanzisha leo Tarehe 21/2/2020 kwa ajili ya kukamilisha taratibu za Mashtaka ya Uhujumu Uchumi dhidi yao.
Hapo sasa.ila mahakama ndio chombo pekee cha kumtia mtu hatiani.Alijitahidi kutupigania walalahoi dhidi ya uonevu wa polisi hivyo nitakuwa na break kwenye kutoa maoni yangu
Selective prosecution on its reignTunataka kuona wako ndani ndio tuamini,makosa ya uhujumu uchumi hayana dhamana!Mbona wengine uchunguzi unaendelea wakiwa ndani? Iweje hawa uchunguzi uendelee wakiwa nje?
Double standard