TAKUKURU: Uchunguzi sakata la Kangi Lugola na wenzie umekamilika. Jalada linapelekwa kwa Mwendesha Mashtaka (DPP)

TAKUKURU: Uchunguzi sakata la Kangi Lugola na wenzie umekamilika. Jalada linapelekwa kwa Mwendesha Mashtaka (DPP)

Hakuna atakayefungwa. Watapelekwa mahakamani, watapata dhamana. Kesi itaunguruma, then Watanzania tulivyo msukule tutasahau na ndiyo kwaheri! JPM hawezi kumtesa mwanafunzi wake, mapambio yake, homeboy or Kandaziwa boy. NEVER ON EARTH
Nawapongeza TAKUKURU kwa uchunguzi sheria sasa ifuate mkondo wake.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rubbish, wangelikuwa wengine wangelikuwa put in the cell. Kwa hawa mnalindana na hakuna la maana sana sana hana hatia, aliteleza

Sent using Jamii Forums mobile app

It is very true wengine wapo ndani kwa same case wengine wapo majumbani. Kangi naye anastahili kupanda karandinga kama wengine.
 
KITAULO, Kinachoonekana nikuwa kangi anaenda kukaaangwa kwenye kikaaango cha umeme Kama kufurahisha wapiga kura, yani wanaenda kumtumia kangi kwenye Uchaguzi, kangi ndie atakaekuwa kielelezo na Wimbo kuwa mafisadi wamekamatwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Musiba apewa JIMBO.
Fadhila baada ya kazi.

Kama kuna siku taifa hili litakuja kuendelea, basi itakuwa ni kwa BAHATI mbaya tu
 
Back
Top Bottom