Ooyeewhobelieve
Member
- Feb 21, 2020
- 8
- 5
Kuweni wapole. Kwanini mnataka Kangi lazima apelekwe sasa hivi ndani.
Atapelekwa tu kashaelekezwa kibla.
Acheni unaa.
Atapelekwa tu kashaelekezwa kibla.
Acheni unaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tatizo hawa waandishi wa habari wa kwetu ni makanjanja tu. Nobody posed a challenging question to the Takukur Boss!! Lugemalila, Tito, Kabendela walionyesha dalili kuwa watatoroka? Eti hawa 17 hawakuonyesha dalili za kutoroka ndiyo maana wako nje. Mlaaniwe takukuru
Tupeni mregeshoUpdates
Eti mahabusu pamejaa sana hata marekani wanapelekaga watu mahabusu upelelezi ukikamilika Mh.Hii ni story ya kufikirika au ni nini hii.Applicable kwa mafisiem tu, wengine haiwahusu.Ni vizuri umetufahamisha hivyo na sisi tulifahamu hivyo, lakini ikawa inakwenda kinyume.Ahsante rudisha sheria kweTunataka kuona wako ndani ndio tuamini,makosa ya uhujumu uchumi hayana dhamana! Mbona wengine uchunguzi unaendelea wakiwa ndani?Iweje hawa uchunguzi uendelee wakiwa nje?
Double standard
Na vivuko vya barabara vikaitwa flyoffer.DuBirds! Stigila, Standadi geiji reilwei... S(th)ubutu, nani , IMMUNITY
Sent using Jamii Forums mobile app
Kibaka aliyekwapua kifaranga cha kuku upelelezi wake unafanyika wakati yuko tayari ndani kunyea debe,mtuhumiwa wa matrioni upelelezi wake unafanyika akiwa nje akitumbua na familia yake na hakuna intelejensia yoyote inayoonyesha kuwa mtuhumiwa akiwa anaendelea kuhojiwa akiwa nje anaweza akaharibu upelelezi.
Eti mahabusu pamejaa sana hata marekani wanapelekaga watu mahabusu upelelezi ukikamilika Mh.Hii ni story ya kufikirika au ni nini hii.Applicable kwa mafisiem tu, wengine haiwahusu.Ni vizuri umetufahamisha hivyo na sisi tulifahamu hivyo, lakini ikawa inakwenda kinyume.Ahsante rudisha sheria kweTunataka kuona wako ndani ndio tuamini,makosa ya uhujumu uchumi hayana dhamana! Mbona wengine uchunguzi unaendelea wakiwa ndani?Iweje hawa uchunguzi uendelee wakiwa nje?
Double standard
Andengenye unavuna ulichopanda Arusha, miaka ile,ukidai kupambana na CHADEMA nadhani utakumbuka kilichotokea.Yatima na wazee walioachwa na vijana wao,baada ya amri yako.(wapigwe) Ibada ya maziko ya huzuni yakafanyika uwanjani bado wanalia kwa uchungu ulichoamuru kifanywe na...........pale stendi Arusha ukisingizia na viwanja vya Soweto na maeneo mengine meeeeengi Arusha na mengi aliyofanyiwa mbunge kwa amri kutoka kwako ndivyo hivyo vinakufuata sasa.Vijana wa Arusha hawatakaa wasahau matukio hayo.Matunda ya Kumtumikia Shetani.
Kuna takataka nchi hii ukiwaambia wapiganie USAWA wao wanawaza CHADEMA au ACT watafaidi.
#RIPAkwilini
Macho yalipofuka kwa muda......Kwani weee huelewi tu,mbona sio mwepesi boss kuelewa?Waandishi wa habari wangeulizia pia zile pesa alizikuwa anawahonga Mnyeti madiwani Arumeru alikuwa anazitoa wapi?
Duh! Ama kweli dunia mviringo. Kuna wakati Kangi aliwabeza watuhumumiwa Fulani waliokuwa wanakabiliwa na za ufisadi akiwaambia kuwa wanalimia meno. Sasa ni zamu yake kulimia meno!Waanze na mnunuzi wa birds "