mdudu
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 7,013
- 10,000
Kweli Mkuu.Mmewamaliza wapinzani mmeanzana wenyewe kwa wenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli Mkuu.Mmewamaliza wapinzani mmeanzana wenyewe kwa wenyewe
Hawezi kupelekwaMfano tu ninja akija Kupelekwa mahabusu sijui atakwenda na ilani yake?najiuliza tu [emoji23]
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni miujiza na nadra sana watu waliotumika kuficha au kutekeleza uovu wowote kwenye utawala fulani kuwajibishwa kwa makosa yao mengine waliyofanya during the course of their employment. Labda tu pale watakapo tofautiana kimtazamo na kusalitiana kisiasa na kudhurumiana and in most cases vifo vyao huwa tu kama kile Cha Dr Mvungi and the like.Uchunguzi ni had watumwe na rais, ingekua hawajutumwa wasingechunguza. Hii taasisi haifanyi kaz kwa weled na inatumika kisiasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wadau Kangi Lugola wakati anateuliwa kuwa Waziri alisema atafanya kazi zake kwa Maelekezo ya ILANI . Je Ilani ina uhusiano na Sakata la Mkataba wa Jeshi la Zima Moto?
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah!!!! Nilicheka sana pale pale aliposema mzee Kangi mwaka huu atashughulika na wenye ndevu zanzibar
How?Michezo ya chama hii. Nowadays watu sio wajinga sana kama wanavyofikiri
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja tuoneNamuoona jamaa huyo akielekea jela kilaini!!! hii nchi jamani ni tamu sana! nani alitegemea kuwa huyu jamaa angeishia hivi