TAKUKURU wakanusha kumshikilia Makonda

TAKUKURU wakanusha kumshikilia Makonda

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
TAKUKURU wamekanusha habari zilizokuwa zimesambaa mtandaoni kuwa wanamshikilia aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda kwa mahojiano.

Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Salum Rashid Hamdun amewataka watu kupuuza uvumi huo.

Taarifa zimekuwa zikimhusisha Makonda na tuhuma zinazomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya.

PIA, SOMA:
- Ni kweli Makonda anashikiliwa na Mamlaka za Serikali kwa mahojiano?
 
Najua Wauza nganda wanapata tabu Sana, hawataki kuamini some how makonda ameyumbisha sana biashara zao wanapitia wakati mgumu Sana tangu alipolipua bomu lao
 
Bado anaogopwa. Matendo yake na ya Sabaya yanashabihiana sana katika kupata utajiri mkubwa katika kipindi cha miaka michache. Tume ya maadili ya Viongozi ni taasisi UCHWARA kama taasisi nyingine nyingi za Serikali.
1623088311788.jpeg

Sawa, ila atashikiliwa lini sasa....
 
Chadema sio Chama cha siasa zaidi ya Chama cha wapumbavu wasiojielewa,wameshindwa kujenga hata ofisi ya Chama chao wamebakiza majungu na roho ya kishetani eti sababu ya kutokemea baadhi ya vitendo,hivi hiki ni Chama au genge la wahuni,wanashindana na Diamond pamoja na Makonda ambao hawawezi kuwapa credibility yoyote, IDIOTS
 
Bado anaogopwa. Matendo yake na ya Sabaya yanashabihiana sana katika kupata utajiri mkubwa katika kipindi cha miaka michache. Tume ya maadili ya Viongozi ni taasisi UCHWARA kama taasisi nyingine nyingi za Serikali. View attachment 1811751
Inawezekana kuna chain kubwa nyuma yake ambayo madhara yake si kidogo
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Kabisa kumbuka huyu hata Mawaziri walikuwa wanamuogopa sana. Mama pia aliwahi KUDEMKA kwamba wa kwanza kutamka hadharani kwamba anastahili kuwa VP alikuwa Bashite, hivyo naye atakuwa mzito kumgusa huyo. Bado tuna safari ndefu sana.
Inawezekana kuna chain kubwa nyuma yake ambayo madhara yake si kidogo
 
Sawa, ila atashikiliwa lini sasa....
Hawawez kumshikilia hata iweje, otherwise wawe matahila .na kama watathubutu kumshikilia Basi ccm watakuwa wamepoteza Imani kwa wafuasi wao wengi.kupambana na wauza ngada haikuwa kaz rahisi.nini kilimpata Amina chifupa!?,kifili Mara mbili.makonda aliizamisha boti ya wauza ngada na kuipotezea mwelekeo kbs,naweza sema tangu Uhuru Hadi Sasa ,huyu ndo mtu pekee aliyepigana Vita na wauza ngada na akafanikiwa kwa zaidi ya 85%,haijawahi kutokea mtu yeywto tz hii aliyefanikiwa kwa kias hicho kupambana na wauza ngada!
 
Waje watuambie hapa wao wamesikia waaapi MK anashikiliwa?
 
Chadema sio Chama cha siasa zaidi ya Chama cha wapumbavu wasiojielewa,wameshindwa kujenga hata ofisi ya Chama chao wamebakiza majungu na roho ya kishetani eti sababu ya kutokemea baadhi ya vitendo,hivi hiki ni Chama au genge la wahuni,wanashindana na Diamond pamoja na Makonda ambao hawawezi kuwapa credibility yoyote, IDIOTS
Mkuu, ile no Sacco's sio chama.hapa[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] ndio Banda lao wanalokusanyikia kulejesha marejesho kwa menyeja wa Sacco's bwana wembo.
FB_IMG_1615731567655.jpg
 
Yaani ni full madole, huku diamond anapeta licha ya kampeni mbofu huku makonda anachomeka watu vidole...mpaka mtbelee kucha hapa...
TAKUKURU wamekanusha habari zilizokuwa zimesambaa mtandaoni kuwa wanamshikilia aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda kwa mahojiano.

Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Salum Rashid Hamdun amewataka watu kupuuza uvumi huo.

Taarifa zimekuwa zikimhusisha Makonda na tuhuma zinazomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya.
 
Yaani ni full madole, huku diamond anapeta licha ya kampeni mbofu huku makonda anachomeka watu vidole...mpaka mtbelee kucha hapa...
Mod utende haki. Nimeweka issue hii tangia asubuhi unaitoa na kuleta hii ambayo haina tofauti na yangu! Kunani au mnataka nirejee kwenye likizo ya miaka bila kufungua jf?
 
kigogo kule twitter ndio anawalisha matango poli wafuasi wake ...

yaani kule ni ujinga mwanzo mwisho
 
Back
Top Bottom