TAKUKURU wameogopa kusema Babu Tale Kanga alikuwa anagawa za nini?

TAKUKURU wameogopa kusema Babu Tale Kanga alikuwa anagawa za nini?

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Babu Tale anagawa Kanga za nini? Yaani wakupe miaka Mitano wewe uwape pea ya Kanga, TAKUKURU muwe mnatupa ripoti kama hizi tujue mlichukua hatua gani, au alisemaje. TAKUKURU msikalie Ripoti za namna hii.

April April 10 mwaka huu 2022, Hamisi Shaban Taletale, maarufu kama Babu Tale, ambaye ni Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) alitoa zawadi ya Kanga kwa kila mwanachama wa chama chake aliyekuja alipo wakati alipofika jimboni hapo.

Hadi leo Miaka mitatu imepita TAKUKURU wapo kimya. Wanatuvunja moyo wa kupambana na Rushwa.

Bado nasubiri TAKUKURU waseme neno moja tu.
 
Babu Tale anagawa Kanga za nini? Yaani wakupe miaka Mitano wewe uwape pea ya Kanga, TAKUKURU muwe mnatupa ripoti kama hizi tujue mlichukua hatua gani, au alisemaje. TAKUKURU msikalie Ripoti za namna hii.

April April 10 mwaka huu 2025, Hamisi Shaban Taletale, maarufu kama Babu Tale, ambaye ni Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) alitoa zawadi ya Kanga kwa kila mwanachama wa chama chake aliyekuja alipo wakati alipofika jimboni hapo.

Hadi leo Miezi Miwili imepita TAKUKURU wapo kimya. Wanatuvunja moyo wa kupambana na Rushwa.

Bado nasubiri TAKUKURU waseme neno moja tu.
View attachment 3391597
Ila waokota rushwa kwa wauza maandazi wanapandishwa kizimbani?
 
Angela KAIRUKI Anatoa elfu 70000/= kwa kila mjumbe huko KIBAMBA.
TAKUKURu wapo ofsini wanajambiana tu
 
Back
Top Bottom