TAKUKURU: Watu 8 wakiwamo Watumishi 7 wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kushitakiwa kwa makosa ya rushwa na Uhujumu Uchumi

Ma-tamthilia yanaendelea, huwa nasikitika sana nikikumbuka ishu ya yule askari aliyefukuzwa kazi baada ya video yake akipokea rushwa kutoka kwa dereva wa daladala kusambaa.

Nasikitika Kwasababu alitolewa kafara wakati kuna watu wanapiga mipunga mizito inayoadhiri karibia kila MTANZANIA.

Hivi wale waliopunguza gawio la SERIKALI kwenye madini wako wapi?

Wale waliomsafirisha Twiga mpaka Uarabuni, je?

Lugumi naye alipotelea wapi?

Yule mkubwa na zile pesa za pembejeo?!

HUU MSUMENO WA TAKUKURU UKO UPANDE MMOJA TU?
Leo mko Kasi kwa CHADEMA wakati masoo kibao mmeyalia ganzi?

Elf 2 kwa nesi au daktari au askari anapoteza ajira na jela inamsubiri wakati kuna watu WALITIA SAINI MIKATABA MIBOVU YENYE HARUFU YA RUSHWA LEO BADO WAPO NA VYEO BUNGENI.

NB:
SITETEI KUPOKEA WALA KUTOA RUSHWA YA AINA WALA KIASI CHOCHOTE BALI HAYA NI MAWAZO YANGU YA RUSHWA INAVYOSHUGHULIKIWA HAPA KWETU TZ.
 
Na jana mh. Rais amewasamehe watu(maafisa wa zimamoto) tulioambiwa wameingia mkataba ulioli ingizia taifa hasara ya Tsh. Bil 1000 yaani Trilion 1.
 
Leo tarehe 12.06.2020 afisa habari makao makuu jijini daresalaamu ametoa taarifa kwa umma kuwa waliokuwa watumishi wa mamlaka yabandari (TPA) watafikishwa kizimbani kwa makosa ya uhujumu uchumi na utakatishaji fedha ambapo walisababisha upotevu wa kiasi cha tsh billion nane zilizotokana na Mali za mamlaka ya bandari Tanzania.

 
Lugumi issue yake ndio imepotea mjomba, si unajua tena! angekuwa ametokea umatengoni angekuwa na kina sethi kuleeeeeeeee!
 
Mimi ninamjua Adv. Arnold Herman Teemba na Sio Adv. Arnold H. Temba



 
JF siku hizi raha sana! Enzi zile hapa watu wangekuwa wanaweka vidokezo kuhusu "uhusika" wa watuhumiwa! Sasa hivi tunaponda tu, hii inaweza dalili ya kuwa tumegundua kuwa hela za mafisadi zilikuwa zinafanya maisha yetu kuwa "mepesi" nawaza tu wakuu!
 
JF siku hizi raha sana! Enzi zile hapa watu wangekuwa wanaweka vidokezo kuhusu "uhusika" wa watuhumiwa! Sasa hivi tunaponda tu, hii inaweza dalili ya kuwa tumegundua kuwa hela za mafisadi zilikuwa zinafanya maisha yetu kuwa "mepesi" nawaza tu wakuu!
Na hapo hapo kuna uwezekano watu wameona mafisadi yako categorized yapo yanayo chukuliwa hatua na yapo yanayodunda tu kitaa.

Makonda alituhumiwa na rais kuweka furniture zake binafsi kwny yale makontena yenye furniture za ofisi za walimu na alikua ameziombea tax exemption,je alichukuliwa hatua gani baada ya hapo?
 
MTEGO MKUBWA HAPO
ZAWADI NONO
MNAJUA HATA BUKU NALO N NONO KWA WENGINE... WANGETAJA HATAKAMZIGO FULAN JAMAN WATU WAUNGE JUHUDI ALETWE HUYOO
Si ndiyo hapo

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…