TAKUKURU: Watu 8 wakiwamo Watumishi 7 wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kushitakiwa kwa makosa ya rushwa na Uhujumu Uchumi

TAKUKURU: Watu 8 wakiwamo Watumishi 7 wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kushitakiwa kwa makosa ya rushwa na Uhujumu Uchumi

Hapo ndipo ma-jobless kama mimi hua tunafarijika kama vile tutafaidika na chochote kwenye inshu hio.
Hahaha cha ajabu utaishia kufarijika na hufaidi lolote.
 
Takukuru wameweka Dau la Milion 10 kw atakayefanikisha kushikwa kwa jamaa.
IMG-20200618-WA0000.jpg
 
Hii habari ni ya kweli ameshriki kuiba au kusaidiana na hao wafanya kazi kuiba hiyo pesa
 
Back
Top Bottom