luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,602
- 8,798
Kati ya ufisad na madawa ya kulevya kipi Bora? Ni heri fisad akiiba ataenda kuzizungusha mtaanAcheni ufisadi nyie asilimia kubwa ya mafisadi ni zao la sunday school
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kati ya ufisad na madawa ya kulevya kipi Bora? Ni heri fisad akiiba ataenda kuzizungusha mtaanAcheni ufisadi nyie asilimia kubwa ya mafisadi ni zao la sunday school
Hahaha cha ajabu utaishia kufarijika na hufaidi lolote.Hapo ndipo ma-jobless kama mimi hua tunafarijika kama vile tutafaidika na chochote kwenye inshu hio.
Nani anazungumzia laki tano wewe? Soma mada hii watu wamepiga b ngapiGaidi linaloua sokoni kwa kujilipua ufananishe na mwizi wa laki 5?
Wanyonge oyeeeeeeeeee.Hahaha cha ajabu utaishia kufarijika na hufaidi lolote.