TAKUKURU: Watu 8 wakiwamo Watumishi 7 wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kushitakiwa kwa makosa ya rushwa na Uhujumu Uchumi

kweli sasa TAKUKURU mnafanya kazi, hongereni, sasa mpambane mshinde kesi
 
Piga rushwa kubwa uwe salama.
 
AWA MA ADV WA KUOGOPA SANA HATA KUWAPA UONGOZI
HIVI BUNGEN WAPO
 
naomba mwenye konection ya ajira/vibarua bandarini. nahtaji kufanya kaz huko
 
Dah. Hivi bado Kuna raia zina ujasiri namna hii!?
 
Batch no 2 hiyo ya kufungia mhula imeingia tumeanza na MSD,NEMC NA TPA, za watu binafsi zimeisha sasa
 
kwahio ilitaka huyu askari aachwe. mbona unashindwa ku reason. kutokamatwa kwa wengine hakumfanyi huyo asksri kuachwa
 
Hapo ndipo ma-jobless kama mimi hua tunafarijika kama vile tutafaidika na chochote kwenye inshu hio.
Mkuu bora tulime tupambane na tembo na mvua na jua..

Hata matuhuma haya siyo mazuri..

Everyday is Saturday....................... 😎
 
JF siku hizi raha sana! Enzi zile hapa watu wangekuwa wanaweka vidokezo kuhusu "uhusika" wa watuhumiwa! Sasa hivi tunaponda tu, hii inaweza dalili ya kuwa tumegundua kuwa hela za mafisadi zilikuwa zinafanya maisha yetu kuwa "mepesi" nawaza tu wakuu!
Double standard mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…