TAKUKURU yaanza kuichunguza CHADEMA kwa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha

Anyway hii njia nzuri chama kujisafisha au kujichafua zaidi. TIME
 
Huyu jamaa wanasema anakubalika
Kwanini anatumia nguvu hivi
😂

Unajua, ninyi watu mnafurahisha Sana, aliyekuwa akiimba kuwa Chadema inasingiziwa, sijui Mbowe anaonewa na kusingiziwa Sana si ndo kina ninyi makamanda?

Sasa Chama kikifanyiwa upekuzi si ndo vizuri sasa kuubariki ukweli wenu makamanda?

Hamueleweki mpo kama Popo
 
Acha kulalama..

Si tunataka kuwakomesha ccm?
Yani kwa vile sisi chadema ni safi, ngoja takukuru watuchunguze ili tuwafunge domo ccm.

Hakuna mwenye tatizo na hilo, ila tunauliza tu ule uchunguzi wa Takukuru wa mbwembwe kuwa wamekamilisha uchunguzi wa tuhuma za kina Kange Lugola kwa 99%, hatua zimeishia wapi? Sasa kama uchunguzi wa kina Kangi Lugola ulishakamilika na hadi leo hakuna hatua yoyote, je hiyo ya cdm hatua si zitachukua baada ya miaka. Hapa ndio tutaona ile double standard tunayosema kila siku.
 
Kwamba Mashinji huyu anayesusiwa salamu na akina Halima atahojiwa kuhusu chama cha akina Halima.

Kama hakuna upigaji ni vizuri au huo upigaji umhusu Mashinji pia tofauti na hapo hana sababu ya kutokuwachomea!
Kuwachomea ni kueleza ukweli au?
 
Mbona mnaanza kulialia na kuingia siasa?Acheni Takukuru ifanye kazi😁😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…