Ibambasi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2007
- 9,296
- 4,697
Chadema hawako juu ya sheria kamanda na Takukuru wako kazini. Ni utawala wa sheriaHuyu mkuu wa takukuru pamoja na kuwa ametoka kwenye taasisi inayo heshimika kama JWTZ lakini amekubali kutumika kunyanyasa wananchi wasio na hatia kwa manufaa ya CCM.
Hii ndio hatari kubwa ya kutumia wanajeshi sehemu ambazo sio zao
Wakisha zoea kupindisha mambo ipo siku watapindisha sehemu siyo lwa manufaa yao wenyewe.
Wait and see.