TAKUKURU yaanza kuichunguza CHADEMA kwa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha

TAKUKURU wakishamaliza uchunguzi wanapeleka kwa DPP? hiyodouble standard vepeee kamanda? kwani unajua matokeo ya uchunguzi tiari?....[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mwambie huyo boss wa takukuru kuna ushahidi wa CAG juu ya upotevu wa 1.5Tr
Sasa hizo zenye ushahidi Takukuru anaenda Kufanya nini sasa!!

Mbona mnachanganyikiwa? Unajua mnafurahisha Sana, Maana hamueleweki, kabla ya hili tukio si ndio nyie mlikuwa mnasema hakuna ubadhirifu ndani ya Chama?

Mbowe anaonewa Tu, hajawahi kula pesa ya Chama? Sasa wasiwasi wenu ni nini tena?
 
Mbona zile 1.5Tr alizo zitaja CAG takukuru hawakukanyaga kuwaita wahusika na kuwahoji. Acheni uzuzu.. waoga sana kwenye uchaguzi.
Hahahaha...CAG alikanusha alipoulizwa na Rais, TAKUKURU wanafanyia kazi malalamiko, acha wachunguze ili wabaya wenu waumbuke kwa kuwasingizia na kuwachafua mkuu, hutaki mpate credit kuelekea kwenye uchaguzi japo muongeze idadi ya wabunge wafike angalau watatu (03)?
 
Target hapo ni Mbowe tu..
Inamaana ripoti ya CAG hati safi kqa cdm hawaiamini!?
 
Mshamba wewe CHADEMA sio jf, watu wako humu toka zama za Jambo na hawakusignup na wengine wako na multiple accounts so usije hadaiwa na ugeni wa account wakati mmiliki humjui ukambedha.
Mkuu unabishana na M/kiti Wao chamani, achana naye Kesha patwa hofu kiasi anaelekea changanyikiwa, anafukuza watu ovyo kwenye Chama bila kosa lolote, huko si ndo kuchanganyikiwa mwenyewe!!!
 
Kwanini uchukulie negative kuwa ni kunyanyaswa wakati inaweza kuwatakasa kama hakutakuwa na ushahidi!
 
TAKUKURU wakishamaliza uchunguzi wanapeleka kwa DPP? hiyodouble standard vepeee kamanda? kwani unajua matokeo ya uchunguzi tiari?....[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Nasema hivi, baada ya uchaguzi wa Yakijiri tulitegemea hatua kuchukuliwa na sio kwenda kuatamiwa na DPP. Huyo DPP ndio anayetumika mara zote kuwakomoa wapinzani, ila ikifika kwa mwanaccm anatulia.
 
Wanachadema wanasemaje maana kumbe hata ada za kadi za mwanachama zimeliwa na kina mbowe

Naona waliko hali sio nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…