TAKUKURU yaanza kuichunguza CHADEMA kwa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha

Chadema hawako juu ya sheria kamanda na Takukuru wako kazini. Ni utawala wa sheria
 
Bilion 8
 
Takukuru sio chombo huru akiwezi bila maagizo.Kama wako huru wachunguze manunuzi ya ndege,Chato airport,ujenzi wa dodoma,sgr,nk.
 
Acha kulalama..

Si tunataka kuwakomesha ccm?
Yani kwa vile sisi chadema ni safi, ngoja takukuru watuchunguze ili tuwafunge domo ccm.
Shida huwa ripoti ikiwa Safi upiga kimya ngoja wakute dosari mrejesho negative ni lazima
 
Takukuru sio chombo huru akiwezi bila maagizo.Kama wako huru wachunguze manunuzi ya ndege,Chato airport,ujenzi wa dodoma,sgr,nk.
Hata zile bilion 251 zilipotea wizara ya ujenzi mwaka 2014 nazo wachunguze pia wasibague uchunguzi
 
Kange bado anachunguzwa?
 
Kwanini uchukulie negative kuwa ni kunyanyaswa wakati inaweza kuwatakasa kama hakutakuwa na ushahidi!
Mlisema mpo safi sana sasa manachunguzwa amnalialia nini?
 
Reactions: mmh
Mimi naunga mkono uchunguzi. Huyu mwongo Lijualikali aaibike eti Mbowe kaiba Bill 8 uongo mtupu kumsingizia mwenyekiti.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uchunguzi unaofanywa na aliyeteuliwa na mwenyekiti wa ccm...majibu lazima yawe ni ya kumpendeza aliyemteua..majibu gani hayo yatakuwa ya kumpendeza mwenyekiti wa ccm,stay tune
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…