DoubleOSeven
JF-Expert Member
- Jul 5, 2008
- 661
- 144
.
Jamani,
Hapo ndipo mnapotuchanganya sasa.
Taarifa inasema amekamatwa akitaka kutoa rushwa.Sasa kelele zote hizo za nini?.Si kuna mahakama na atakwenda kujitetea huko?Ushabiki gani huu wa kutotumia akili.
Waziri Sitta amekamatwa kwa tuhuma ya kutaka kutoa rushwa na TAKUKURU mkoani Tabora. Sitta amekamatwa na fedha zaidi ya millioni moja na bahasha za kaki 140 na simu za mkononi aina ya Nokia. Sitta ameachiwa kwa dhamana.
Habari zaidi nikizipata
TBC imetangaza kwenye taarifa yao ya habari kuwa mke wa Spika Mama Magreth Sitta amekamatwa akitoa rushwa huko Tabora. Inavyoelekea TBC wameshabikia habari hiyo na kuzungumza moja kwa moja na Kaimu mkuu wa TAKA-KURU wa mkoa huo wakimdhihaki na kumhukumu kuwa ametoa rushwa.
Mbona hawa Takukuru hawaendi igunga ambapo yule muiran anachagiliwa tu kwa mlungula????
sijui nchi inaendaje
... wewe ungekuwa unatumia zako yaloandikwa juu yasingekuchanganya. Mahakama ipi? Zile theatre kunakochezwa maigizo na WASANII waloshika dola? Changanya na zako!
Muirani ndiye anaye ongoza TBC na vyombo vingine vyote vya habari vilivyopo chini ya TBC na hii ni hatari sana kwa nchi sijui kiongozi wetu yuko wapi jamani,ruwanda vyombo vya habari ndivyo vilivyo chochea mauwaji,ee Mungu baba mfungue Raisi wetu aone hila hizi! mungu ibariki tanzania ,TBC imetangaza kwenye taarifa yao ya habari kuwa mke wa Spika Mama Magreth Sitta amekamatwa akitoa rushwa huko Tabora. Inavyoelekea TBC wameshabikia habari hiyo na kuzungumza moja kwa moja na Kaimu mkuu wa TAKA-KURU wa mkoa huo wakimdhihaki na kumhukumu kuwa ametoa rushwa.
Mbona hawa Takukuru hawaendi igunga ambapo yule muiran anachagiliwa tu kwa mlungula????
sijui nchi inaendaje
asante mkuu ukweli mtupu huo, lkn wajue ipo siku watoto wa paka watapofoa macho itakuwa kazi kuwazuia,kweli Tanzania ina matatizo makubwa, Organization zote zinafanya kazi kama ikiwa ni jambo la kisiasa tu, kuna kesi za maana sana za maMbo ya rushwa lakini hawa jamaa hawafatilii kabisa
sasa kama unataka kujua kuwa vyombo vya serikali vinafanya kazi huu ndio muda muafaka jaribuni kufuatilia nyendo za
1) TBC, DAILY NEWZ, HABARI LEO
2) USALAMA WA TAIFA
3) POLICE
4) TAKUKURU
HIZI ORGAN HAZINA KABISA HABARI NA MAENDELEO YA NCHI HII ZAIDI YA MAMBO YA KISIASA TU
Watakamatwa wengi na kampeni hizi!...
Hata Sitta, aibu gani hii!!!