amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,132
- 31,149
Hapana.Ina maana mkopo wa 15M unazaa 15M nyingine?maana kapewa 10 tu kwenye 40M yake.
Unazaa 15m ingine na ziada 6M.
Yaani unakopa 15m unarudisha 36M
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana.Ina maana mkopo wa 15M unazaa 15M nyingine?maana kapewa 10 tu kwenye 40M yake.
Takukuru wanaiogopa Bayport? Waende huko watumishi wanaumia kimyakimya. Unapigwa riba ambayo haipo duniani.
Huu ni ufala wa hali ya juu. Hata kama unashida kiasi gani hutakiwi kukubali mkopo wa aina hii.Hapana.
Unazaa 15m ingine na ziada 6M.
Yaani unakopa 15m unarudisha 36M
Kweli nimeamini kila kiongozi anayepita humuandaa kiongozi wa kulinda maslahi yake aondokapo madarakani.Wanaanzaje kumgusa yule festi ledi wa enzi zile kutoka uchagani??
Haya ndio matatizo ya mfuko wa pension (PSSSF) kuchelewesha mafao ya wastaafu hadi kufikia kudhulumiwa fedha.
Bora awamu ile mifuko ilikuwa mingi na ushindani wa kibiashara na utoaji huduma uliongezeka licha ya kuwa yote ilikuwa chini ya serikali.
Mkuu usijitoe ufahamu.Hivi kwani huwa wanalizimishwa kwenda kukopa?
Tunaishi ulimwengu wa kibepari, waache kuwa wanatetea watu wanaoingia makubaliano wenyewe.
Alikopa Million15.
Mafao yake ni million 46.
Amerudishiwa million 10.
Ikwesheni:- 46-(15+10)=
= 46-25=21
Kwa hiyo tunaweza kusema alikopa million 15 kwa riba ya million 21? Hapa hata sijaelewa kabisa. Na kama ni hivyo watoto wa huyu mama kama wapo Mungu awasaidie.
Umelazimishwa kwenda hapo kukopa? Unadhani kama wasingekuwa na wateja wangejiwekea hizo riba?Mkuu usijitoe ufahamu.
Kuna financial regulations kuzuia wizi kama huo.
Riba zina kikomo kilichopo kisheria.
Mkuu usijitoe ufahamu.
Kuna financial regulations kuzuia wizi kama huo.
Riba zina kikomo kilichopo kisheria.