Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Taasisi ina upigaji sana hii na ni kawaida madawa yenye thamani ya mabilioni kumaliza muda wake wakati hospitalini hakuna dawa. Bwanakunu ilimchukua miaka miwili tu kutajirika kupindukia kwa kujenga maghorofa na malodge leo hii hata wakimuweka ndani nadhani mambo yataisha kimya kimya tu na maisha yataendelea.
Kawekwa Brigedia pale. Pengine ataleta mabadiliko lakini kama ni tatizo la kimfumo hata yeye hataweza. Wajanja wataendelea kupiga tu.
Kawekwa Brigedia pale. Pengine ataleta mabadiliko lakini kama ni tatizo la kimfumo hata yeye hataweza. Wajanja wataendelea kupiga tu.