Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mashirika yoote ya umma hayatakiwi yajiendeshe kwa ruzuku ya Serikali kwa namba yoyote ile, kwa sababu yanafanya bishara na yanapata faida, na hivyo lazima yatoe gawio kila mwaka Serikalini. Mshahara atakaolipwa mtumishi itategemea realized profit, na kitu kama hicho lazima kitofautiane kutoka shirika mpaka shirika. Short of that, shirika hilo aidha litafutwa au kubinafsishwaHujanielewa.
Hivi muhasibu wa TBA mwenye shahada na ana uzoefu wa miaka 5 unajua kuwa anazidiwa kwa mshahara na fresh graduate anayeanza kazi Tanesco?.
Waboreshe muundo wa mshahara kwa kuweka uwiano sawia
Kichwa cha habari kinasema TZS 54 million, habari yenyewe TZS 254 million MODERATOR msaidie kusahihisha kichwa cha habari
Mkuu fresh graduate Tanesco anapokea kiasi gani?Hujanielewa.
Hivi muhasibu wa TBA mwenye shahada na ana uzoefu wa miaka 5 unajua kuwa anazidiwa kwa mshahara na fresh graduate anayeanza kazi Tanesco?.
Waboreshe muundo wa mshahara kwa kuweka uwiano sawia
Parefu boss. Pesa inatosha kununulia kiwanja huko MbandeMkuu fresh graduate Tanesco anapokea kiasi gani?
Tatizo ni tofauti kubwa ya mshahara katika level moja ya elimuHayo mapendekezo yako ni ya kitoto.
Watu wanaweza kuwa na elimu moja ila mmoja amefanya kazi miaka mingi bila shaka uzoefu wake hauwezi kuwa sawa na mtu katoka Chuo jana.
Kama huutambui uzoefu kazini na kwamba unaweza kuwa na tija zaidi basi unaonekana una matatizo na ninyi ndio wezi wakubwa
daa hatari hii awamu watu wanajipigia kimya kimya sana sijui dawa yao ni ipi maana kuwa mkali kama Simba haisaidii ni kuwa na taasisi makini za kuzuia na kukagua Mali za umma sio kama sasa ni takukuru tuu harafu mwisho wa siku kesi inatupiliwa mbali bila ushahidi...ile kesi ya dhahabu ya 700 ilipotea hivi hivi ila mbwe mbwe zake kama makosa yapo...
Umasahini wapi? Kazi nikukatalia form za bima nakujaza taarifa za uongo ili kuiba dawa! Huo mzigo uliandaliwa kupigwa long!
Umasahini wapi? Kazi nikukatalia form za bima nakujaza taarifa za uongo ili kuiba dawa! Huo mzigo uliandaliwa kupigwa long!
Hiyo ndiyo kazi ya mjeshi! Yawezekana kawategea mtego akawanasa. Ndo maana unaona niwengi.
Apelekwe Magufuli mwenyewe akawe mkurugenzi wa ulinzi
Kama kiasi gani mkuu?Parefu boss. Pesa inatosha kununulia kiwanja huko Mbande
Nakazia. AtajeKama kiasi gani mkuu?
😎😎😎😎Taasisi kama hizo wamejaza watoto wao wa kishua na wazazi wao ambao wapo serikalini,sasa mambo yanazidi kuwa magumu na mchezo ndio tumeenda mapumziko ili kipindi cha pili kianze.
Mwana kulifaind mwana kuligeti.
Ili ufisadi ukome kwa watumishi basi kwa hatua ya kwanza waweke mishahara sawa kwa kada au kwa wenye elimu level moja. Pili maslahi nyinginezo kama pango, lunch na usafiri wapewe wote kwa ujumla.
Waache kazi graduates jobless wachukue hizo nafasiUmesema kweli mkuu. Wafanyakazi wengi wanalipwa pesa za "mboga"