Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Taasisi ina upigaji sana hii na ni kawaida madawa yenye thamani ya mabilioni kumaliza muda wake wakati hospitalini hakuna dawa. Bwanakunu ilimchukua miaka miwili tu kutajirika kupindukia kwa kujenga maghorofa na malodge leo hii hata wakimuweka ndani nadhani mambo yataisha kimya kimya tu na maisha yataendelea.
Kawekwa Brigedia pale. Pengine ataleta mabadiliko lakini kama ni tatizo la kimfumo hata yeye hataweza. Wajanja wataendelea kupiga tu.
Wakitoka hapo waende na Tanroads wakamtoe Mfugale wamuweke Mjeshi tuone makaburi pale yatakavyofukuliwa kwa kasiAisee Babaangu ni hatari sana. Wanaposema Serikali haipeleki mahela kumbe dawa zinakufa ina maanisha nini?
Mjeshi anatakiwa kuwa smart na masterminder huku aelewe kwamba anafanya kazi na watu wenye uzoefu zaidi ya miaka 10 kwenye taasisi hiyo watamshinda tu kama asipobadili mfumo mzima.
MSD ipo shida mahali, kuna mahali hapapo sawa kabisa na hilo linatakiwa lijulikane mapema kabisa.
JPM aliona mbali, lakini anatakiwa kuendelea kuona mbali zaidi.
Miezi 3 ya Mkurugenzi mpya tena Mjeshi bado watu wanapiga dili, Aisee, hali ni mbaya Bohari! Hilo la Mkurugenzi wa zamani kutolewa kimya kimya inawezekana pia; Maana TAKUKURU ni Drama tu , kwani ya Kangi yameishia wapi ? Hao dagaa ndio watatolewa kafara.
Na nyie watumishi wa Umma, mkiwa Dagaa mnatakiwa kufanya kazi kwa weledi, mtatumika kama daraja kama akili yako imejaa gasi.
Taasisi ina upigaji sana hii na ni kawaida madawa yenye thamani ya mabilioni kumaliza muda wake wakati hospitalini hakuna dawa. Bwanakunu ilimchukua miaka miwili tu kutajirika kupindukia kwa kujenga maghorofa na malodge leo hii hata wakimuweka ndani nadhani mambo yataisha kimya kimya tu na maisha yataendelea.
Kawekwa Brigedia pale. Pengine ataleta mabadiliko lakini kama ni tatizo la kimfumo hata yeye hataweza. Wajanja wataendelea kupiga tu.
Hivi dawa ambazo zinaponunuliwa tayari expiry date inajulikana zinawezaje kuachwa mpaka muda wa matumizi uishe? How? Kweli hapa kuna tatizo kubwa la kimfumo. Kuna haja ya kuondokana na hii monopoly kuwe tu na taasisi/mamlaka ya kuratibu haya madawa the rest waachiwe institutions nyingi .
Brigedia hawezi kuleta mabadiliko maana ni organized crime. Mfumo mbovu. Na ni ngumu kufumua mfumo mzima maana utabadilisha wafanyakazi wengi. Na haya madawa ni bidhaa rahisi sana kuiingiza sokoni na kupata mteja.Taasisi ina upigaji sana hii na ni kawaida madawa yenye thamani ya mabilioni kumaliza muda wake wakati hospitalini hakuna dawa. Bwanakunu ilimchukua miaka miwili tu kutajirika kupindukia kwa kujenga maghorofa na malodge leo hii hata wakimuweka ndani nadhani mambo yataisha kimya kimya tu na maisha yataendelea.
Kawekwa Brigedia pale. Pengine ataleta mabadiliko lakini kama ni tatizo la kimfumo hata yeye hataweza. Wajanja wataendelea kupiga tu.
Wakitoka hapo waende na Tanroads wakamtoe Mfugale wamuweke Mjeshi tuone makaburi pale yatakavyofukuliwa kwa kasi
Taratibu mkuu kule hapaguswagi kizembe,ukiona Takukuru wanazuga hawapaoni jua kuna Godfather mahala.Yule Mfugale Bomu kabisa. Kwanza barabara zote alizojenga yeye tayari zina viraka. Mvua ikinyesha inaacha na mashimo kabisa, sijui huo ndio mradi wake au ? Halafu TAKUKURU wapo busy na Dagaaa! Kuweni Serious
Kuna mambo ya iliyokuwa mamlaka ya mkonge, ni ya mwisho wa 90 au mwanzo mwa 2000, yanafukuliwa sasa, pengine na uhujumu wa nyumba za serikali 2005 nao utapitiwa ili zirudishwe.Nimesikia Manyara wengine wanashikiliwa na Takukuru kwa makosa ya mwaka 2014,nilishangaa sana mbona zamani!
Maana ukisema ufuatilie miaka hiyo mbona mtaani kutanuka!
Brigedia hawezi kuleta mabadiliko maana ni organized crime. Mfumo mbovu. Na ni ngumu kufumua mfumo mzima maana utabadilisha wafanyakazi wengi. Na haya madawa ni bidhaa rahisi sana kuiingiza sokoni na kupata mteja.
Wawekwe ma-snitch tu kila upande ili wanase mmoja mmoja kama hivyo.
Taratibu mkuu kule hapaguswagi kizembe,ukiona Takukuru wanazuga hawapaoni jua kuna Godfather mahala.
MSD===GPSA (Kuna magenge ya wafanyakazi wezi hatari mno).Taasisi ina upigaji sana hii na ni kawaida madawa yenye thamani ya mabilioni kumaliza muda wake wakati hospitalini hakuna dawa. Bwanakunu ilimchukua miaka miwili tu kutajirika kupindukia kwa kujenga maghorofa na malodge leo hii hata wakimuweka ndani nadhani mambo yataisha kimya kimya tu na maisha yataendelea.
Kawekwa Brigedia pale. Pengine ataleta mabadiliko lakini kama ni tatizo la kimfumo hata yeye hataweza. Wajanja wataendelea kupiga tu.
Mfugale hana kona konaWakitoka hapo waende na Tanroads wakamtoe Mfugale wamuweke Mjeshi tuone makaburi pale yatakavyofukuliwa kwa kasi
MSD===GPSA (Kuna magenge ya wafanyakazi wezi hatari mno).
Hahah ulidanganywa na nani?Mfugale hana kona kona
Daa!! ndio maana bei ya bia inazidi kushuka kila kukicha.
Aisee Babaangu ni hatari sana. Wanaposema Serikali haipeleki mahela kumbe dawa zinakufa ina maanisha nini?
Mjeshi anatakiwa kuwa smart na masterminder huku aelewe kwamba anafanya kazi na watu wenye uzoefu zaidi ya miaka 10 kwenye taasisi hiyo watamshinda tu kama asipobadili mfumo mzima.
MSD ipo shida mahali, kuna mahali hapapo sawa kabisa na hilo linatakiwa lijulikane mapema kabisa.
JPM aliona mbali, lakini anatakiwa kuendelea kuona mbali zaidi.
Miezi 3 ya Mkurugenzi mpya tena Mjeshi bado watu wanapiga dili, Aisee, hali ni mbaya Bohari! Hilo la Mkurugenzi wa zamani kutolewa kimya kimya inawezekana pia; Maana TAKUKURU ni Drama tu , kwani ya Kangi yameishia wapi ? Hao dagaa ndio watatolewa kafara.
Na nyie watumishi wa Umma, mkiwa Dagaa mnatakiwa kufanya kazi kwa weledi, mtatumika kama daraja kama akili yako imejaa gasi.
Umasahini wapi? Kazi nikukatalia form za bima nakujaza taarifa za uongo ili kuiba dawa! Huo mzigo uliandaliwa kupigwa long!Ukikaa chini na kutafakari utaona kabisa hawa watu kuna haja ya wafanyakazi wote kukatwa nusu ya mishahara yao taasisi nzima kufidia dawa zinazokufa na kuibiwa ili kila mmoja awe ni askari wa mwenzie.
Ukienda Umasaini huko hakuna dawa kabisa( ukija bohari kuu unaambiwa dawa zimekufa . Mfumo wa MSD ni corrupt.