jitombashisho
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 667
- 2,245
Kwani rais awezi kupanga njama kumuua makamu wake
Ili arithi nini? Maana hata akimuua atakuja makamu mwingine.Kwani rais awezi kupanga njama kumuua makamu wake
Wache wauwane tu, maana hawatusaidii chochote.Kikatiba endapo Rais aliyepo madarakani hapa Tanzania akifa makamu wake ndiye anatakiwa awe mkuu wa Nchi bila uchaguzi wowote kufanyika...
Hivi wewe boya huwa unafikiri nakuogopa eti?!
vipi china ,lipo? Haya mambo yanahitaji kutuliza kichwa. Kikubwa mustakabali wa uwepo wa Tanzania kama nchi uzingatiwe.Limeshaua wangapi?
Ht Marekani hili takwa lipo and now wanaraisi wa 46..
Kikatiba endapo Rais aliyepo madarakani hapa Tanzania akifa makamu wake ndiye anatakiwa awe mkuu wa Nchi bila uchaguzi wowote kufanyika.
Jambo ambalo ni hatari mno na ni risk kwa mkuu wa Nchi awaye endapo tu msaidizi wake watakuwa na kuhitilafiana hali ambayo pengine kibinadamu inaweza kuleta athari na hatari kwa Taifa.Ndiyo,hatari kwa sababu msaidizi anaweza kula njama za kumuua bosi wake ili yeye awe Rais kwa sababu Katiba ya Nchi ndivyo inavyotamka.
Shime wanasheria wetu na wadau wote wa masuala ya kisheria hasa wanaharakati lipingine jambo hilo mahakamani kwa sababu madhara yake ni mengi kuliko faida.
Unataka tuwe tunafanya uchaguzi kila siku? Hicho kifungu na msaada mkubwa kiuchumi na kisiasaKikatiba endapo Rais aliyepo madarakani hapa Tanzania akifa makamu wake ndiye anatakiwa awe mkuu wa Nchi bila uchaguzi wowote kufanyika.
Jambo ambalo ni hatari mno na ni risk kwa mkuu wa Nchi awaye endapo tu msaidizi wake watakuwa na kuhitilafiana hali ambayo pengine kibinadamu inaweza kuleta athari na hatari kwa Taifa. Ndiyo, hatari kwa sababu msaidizi anaweza kula njama za kumuua bosi wake ili yeye awe Rais kwa sababu Katiba ya Nchi ndivyo inavyotamka.
Shime wanasheria wetu na wadau wote wa masuala ya kisheria hasa wanaharakati lipingine jambo hilo mahakamani kwa sababu madhara yake ni mengi kuliko faida.