Takwa la kikatiba la baada ya kifo cha Rais aliyepo madarakani msaidizi wake awe mkuu wa Nchi litauwa wengi-lipingwe mahakamani

jitombashisho

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2020
Posts
667
Reaction score
2,245
Kikatiba endapo Rais aliyepo madarakani hapa Tanzania akifa makamu wake ndiye anatakiwa awe mkuu wa Nchi bila uchaguzi wowote kufanyika.

Jambo ambalo ni hatari mno na ni risk kwa mkuu wa Nchi awaye endapo tu msaidizi wake watakuwa na kuhitilafiana hali ambayo pengine kibinadamu inaweza kuleta athari na hatari kwa Taifa. Ndiyo, hatari kwa sababu msaidizi anaweza kula njama za kumuua bosi wake ili yeye awe Rais kwa sababu Katiba ya Nchi ndivyo inavyotamka.

Shime wanasheria wetu na wadau wote wa masuala ya kisheria hasa wanaharakati lipingine jambo hilo mahakamani kwa sababu madhara yake ni mengi kuliko faida.
 
1
Limeshaua wangapi?
Ht Marekani hili takwa lipo and now wanaraisi wa 46..
vipi china ,lipo? Haya mambo yanahitaji kutuliza kichwa. Kikubwa mustakabali wa uwepo wa Tanzania kama nchi uzingatiwe.
 
Soma hii

Kikatiba endapo Rais aliyepo madarakani hapa Tanzania akifa makamu wake ndiye anatakiwa awe mkuu wa Nchi bila uchaguzi wowote kufanyika.

Jambo ambalo ni hatari mno na ni risk kwa mkuu wa Nchi awaye endapo tu msaidizi wake watakuwa na kuhitilafiana hali ambayo pengine kibinadamu inaweza kuleta athari na hatari kwa Taifa.Ndiyo,hatari kwa sababu msaidizi anaweza kula njama za kumuua bosi wake ili yeye awe Rais kwa sababu Katiba ya Nchi ndivyo inavyotamka.

Shime wanasheria wetu na wadau wote wa masuala ya kisheria hasa wanaharakati lipingine jambo hilo mahakamani kwa sababu madhara yake ni mengi kuliko faida.
 
Watajuana wenyewe maana Hadi leo rais hanisaidii chochote
 
alikuwa hajali uhai wa wengine ameua watu kwa uonevu wake, kuvunja nyumba za watu, kufukuza watu na wamekaribia kustaafu kwa kisingizio cha vyeti feki ,watu kuokotwa kwenye viloba kwa ujumla whag goes around comes back around

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Kikatiba endapo Rais aliyepo madarakani hapa Tanzania akifa makamu wake ndiye anatakiwa awe mkuu wa Nchi bila uchaguzi wowote kufanyika.

Jambo ambalo ni hatari mno na ni risk kwa mkuu wa Nchi awaye endapo tu msaidizi wake watakuwa na kuhitilafiana hali ambayo pengine kibinadamu inaweza kuleta athari na hatari kwa Taifa. Ndiyo, hatari kwa sababu msaidizi anaweza kula njama za kumuua bosi wake ili yeye awe Rais kwa sababu Katiba ya Nchi ndivyo inavyotamka.

Shime wanasheria wetu na wadau wote wa masuala ya kisheria hasa wanaharakati lipingine jambo hilo mahakamani kwa sababu madhara yake ni mengi kuliko faida.
Unataka tuwe tunafanya uchaguzi kila siku? Hicho kifungu na msaada mkubwa kiuchumi na kisiasa
 
Back
Top Bottom