Takwimu: Baleke vs Musonda

Takwimu: Baleke vs Musonda

1. Baleke - 1 shot on target, 1 goal, 1 game
2. Musonda - 0 shot on target, 0 goal, 1 game...
Wakishiba Hogo sasa utawasikia anamikimbio ya hatarii yule, hata Mayele mlianza kwa kumfanisha na Kibu Hahahahaa.... Akili za wala mihogo bhana! wanafikiri kua siku zote watasajili wakina Mayele tu kumbe wengine ni kina Musonda asee.

Una Hakika Musonda Hakuwa Hata Na On Target Golini Siku ile?
 
Yaani Baleke aliyecheza dakika 90 mnaanza kumfananisha na Musonda aliyecheza dakika 19... Kumamamamamake zako muanzisha uzi huna akili mseeeeeeeeenge
Mechi na dar city alicheza dakika 90 halafu matusi inaonyesha ni watu wa aina gani hapo utopolo
 
1. Baleke - 1 shot on target, 1 goal, 1 game
2. Musonda - 0 shot on target, 0 goal, 1 game...
Wakishiba Hogo sasa utawasikia anamikimbio ya hatarii yule, hata Mayele mlianza kwa kumfanisha na Kibu Hahahahaa.... Akili za wala mihogo bhana! wanafikiri kua siku zote watasajili wakina Mayele tu kumbe wengine ni kina Musonda asee.
Mikimbio mizuri kama bata au swala?
 
Haya wadau, hivi karibuni kupitia usajili wa dirisha dogo tumeshuhudia timu za Simba na Yanga zikifanya usajili wa kuboresha timu zao.

Hapa nawaleta kwenu Baleke mchezaji wa Simba na Musonda wa Yanga ili tuwafananishe kwa takwimu na namna wanavyozutumikia timu zao.

Yalisemwa mengi na wahasimu wa timu hizi mbili kuhusu sajili za wachezaji hawa lakini wataalamu walisema mpira ni mchezo wa wazi na tumeshaanza kuwaona kwani kila mmoja ameshatumikia timu yake kwenye mechi moja ya NBC Premier League.

Je, yale majigambo yetu yalikuwa sahihi?!
OKW BOBAN SUNZU Mzee wa Takwimu
Hili ndio kombe lenu misimu huu baada ya kupoteza la mapinduzi
 
Screenshot_20230123-123337_Google.jpg
 
Yaani Baleke aliyecheza dakika 90 mnaanza kumfananisha na Musonda aliyecheza dakika 19... Kumamamamamake zako muanzisha uzi huna akili mseeeeeeeeenge
Mchezaji mzuri haitaji dakika nyingi uwanjani
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Yan reject wa TP Mazembe aliyetolewa kwa mkopo unataka kumfananisha na top target na haohao Mazembe.

Wao wenyewe Mazembe wanajua kwa nini walikua wanamtaka Musonda na wakamtoa kwa mkopo Baleke
 
Yan reject wa TP Mazembe aliyetolewa kwa mkopo unataka kumfananisha na top target na haohao Mazembe.

Wao wenyewe Mazembe wanajua kwa nini walikua wanamtaka Musonda na wakamtoa kwa mkopo Baleke
Hapa tunakwenda na takwimu za NBC Premier League
 
Wakati mashabiki wa Yanga wakitoa credit kwa mshambuliaji Musonda kuwa ana mikimbio mizuri hivyo ana kitu, mashabiki wa Simba a wachambuzi wakaponda kuwa mikimbio sio ishu, ishu ni kufunga. Jana Baleke kacheza, ila mashabiki hao hao wa Simba wakasifia kuwa Baleke anajituma sana anaonesha ana kitu
 
Back
Top Bottom