Takwimu: Baleke vs Musonda

Takwimu: Baleke vs Musonda

Waambie na wao watupe takwimu za hat trick za yule mtu wao
Uzuri tunakutana na maoni yenu humu humu jukwaani mkikasirika kuhusu mchango na ubora wa Baleke kwenye mechi zilizopita kabla ya leo ila mashabiki wa Yanga tokea Musonda asajiliwe ukiangalia nyuso za mashabiki wa Yanga ni furaha tu juu ya kiwango cha Musonda hasa kwenye mashindano ya CAF.
 
A

Acha maneno mengi..tunasubiri hat trick ya mtu wenu
 
Uzuri tunakutana na maoni yenu humu humu jukwaani mkikasirika kuhusu mchango na ubora wa Baleke kwenye mechi zilizopita kabla ya leo ila mashabiki wa Yanga tokea Musonda asajiliwe ukiangalia nyuso za mashabiki wa Yanga ni furaha tu juu ya kiwango cha Musonda hasa kwenye mashindano ya CAF.
Maneno meengi ya nini kama unamwaga maji. Weka takwimu
 
Tz kuna ujinga mwingi sana siku hizi na vijana hawataki kutumia akili kureason hata kidogo tu
 
Musonda hata akifunga goli la ugoko anashangilia kama amepata papuchi aliyoihangaikia mwaka mzima.
 
Kwahio tulete magoli ya Musonda huko kwao Zambia?
Nimejitolea kukuletea Namba za Mr. Musonda, Kijana mwenye wastani wa Magoli 4.2 kila msimu.

To rub more salt into Yanga's Wound. Huyo Baleke alikua Top Scorer(Juu ya King Mayele)

Hapa nimetafuta vayolence, sitabaki salama.
 
Attachments

  • 32AE3543-49C7-4BA2-B900-BDC4EEAFDA5B.jpeg
    32AE3543-49C7-4BA2-B900-BDC4EEAFDA5B.jpeg
    64.3 KB · Views: 8
Baleke leo dhidi ya Mtimbwa amefikisha hat trick ya nne...huko kwao Congo alikuwa na hat trick tatu ma hat trick yake ya kwanza aliifunga akiwa na miaka 19.
Eti "Baleke leo dhidi ya Mtimbwa amefikisha hat trick ya nne..." 😃😃
 
Nimejitolea kukuletea Namba za Mr. Musonda, Kijana mwenye wastani wa Magoli 4.2 kila msimu.

To rub more salt into Yanga's Wound. Huyo Baleke alikua Top Scorer(Juu ya King Mayele)

Hapa nimetafuta vayolence, sitabaki salama.
Njoo na source inayoonesha Baleke akiwa top scorer.. naahidi hapa sitaingia JF kwa mwezi mzima endapo utakuja na trusted source itakayoonesha hilo
 
Nimejitolea kukuletea Namba za Mr. Musonda, Kijana mwenye wastani wa Magoli 4.2 kila msimu.

To rub more salt into Yanga's Wound. Huyo Baleke alikua Top Scorer(Juu ya King Mayele)

Hapa nimetafuta vayolence, sitabaki salama.
Baleke huyu au kuna Baleke mwingine?
 
Attachments

  • IMG_20230312_142809.jpg
    IMG_20230312_142809.jpg
    97.6 KB · Views: 6
  • IMG_20230115_233419.jpg
    IMG_20230115_233419.jpg
    136.2 KB · Views: 8
Back
Top Bottom