Takwimu: Baleke vs Musonda

Yaani mmecheza na Mbuni fc sijui Rhino halafu mnakimbilia hapa..hapana..tunataka afunge kwenye timu za kiwango cha Premier na kuendelea..hivyo hizo takwimu hazitambuliwa...bado sana mkajipange.
 
Balekeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…