Takwimu: Baleke vs Musonda

Update Musonda kwenye mashindano ya CAF hadi sasa.

[emoji460][emoji460] (magoli mawili) Vs Tp Mazembe na vs Monastir
Assist 2 vs Tp Mazembe na vs Monastir
Jumla kahusika katika magoli manne kwenye CAF interclub msimu huu.
Malizia CAF gani?!
 
Semeni CAF gani?! mbona mnaishia kati
Huu uzi unaenda kuwa kama wa Mayele vs Kibu halafu waazishaji wa uzi ni wale wale makolokwinyo. Na mwishowe wanaishia kuumbuka.
Musonda kaishashirki katika magoli manne ya Yanga kwenye mashindano ya CAF tokea asajiliwe Yanga.
 
Update Musonda kwenye mashindano ya CAF hadi sasa.

[emoji460][emoji460] (magoli mawili) Vs Tp Mazembe na vs Monastir
Assist 2 vs Tp Mazembe na vs Monastir
Jumla kahusika katika magoli manne kwenye CAF interclub msimu huu.
Musonda ana assist 3
Vs mazembe
Vs real Bamako
Vs US monastr
 
Mbona matopolo mnamkataa Prifaa si ni mtu wa kwenu?
 
Musonda ana assist 3
Vs mazembe
Vs real Bamako
Vs US monastr
Asante kwa kunisahihisha mkuu, nimeweka sawa. Wacha mashabiki wa Simba waendelee kupiga kelele za Musonda tumepigwa ila sisi mashabiki wa Yanga mpaka sasa tumeridhishwa na uwezo wa Musonda.
 
Kwahiyo wewe huuoni mchango wa magoli ya Baleke huko CAFCL?
 
Haya hayaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…