Takwimu: Baleke vs Musonda

Takwimu: Baleke vs Musonda

Well....Mr. Smart.
umefungua link na kusoma stats lakini?😂

Relax hii ni busy monday...usijisumbue kufungua link ni takwimu ambazo hazija kamilika, hazioneshi picha kamili ya msimu mzima wa ligi ya Congo.
Hazijakamilika kwenye upande upi? Unaendelea kujiabisha mkuu chutama.
 
1) bora ya mimi niliyeenda chimbo nikaenda kutafuta stats kuliko wewe unayekuja kuleta habari za Privadinho ina maana Dunia nzima mwenye ripoti ya top scorer wa ligi ya Congo ni Privadinho pekee yake halafu bado haayupo kwenye trusted source.

2) mchezaji mwenyewe magoli mengi ni 7 na wala sio 3-4 kama ulivyosema wewe
3) sijui kwanini Baleke anaonekana anagoli moja labda wewe ndio uniambie ni kwanini

4) mimi nimeleta statistics ambayo wewe kwa maelezo yako ulisema ligi ya Congo hawaweki taarifa muhimu ila hiyo takwimu imechambua hadi umri ya wachezaji walioshiriki ligi. Njoo na source yako ikionesha Baleke alikuwa ni top scorer.

Kama kutokuwepo kwa ushahidi, sio uthibitisho wa kutokuwepo je umejuaje kama kipo bila kuwepo kwa ushahidi au unatumia imagination?
I get it. Nimekuelewa mkuu.

Ila majibu ya maswali yote yanapatikana kwenye comment yangu #83, otherwise haya yatakua ni mabishano tu, kila mtu anataka kulinda pride yake. I get it.

Nita-quote kidogo comment #83
Well..Katika Ligi ambazo hazipo WELL published/documented hasa kidigitali basi ni Ligi ya Congo.
Unaweza tafuta taarifa muhimu kabisa lakini ukashindwa kuzipata online.

Kama ulijaribu either ku-google, basi utapata taarifa nyingi baada ya kutua Simba au alivyokwenda Lebanon ila kabla ya hapo utakua kwenye GREY AREA.

Sasa ukitaka kupata taarifa za Congo ni bora uka-opt kutumia social media zaidi kuliko website/blogs.

Simple: Kama wewe ni Shabiki wa Yanga basi moja ya watu unao-waamini ni Digital Manager(Privadinho).
Ingia kwenye account yake(twitter), then search Baleke, utapata majibu(Japo nitapost screenshot pia).
 
Ni ajabu mtu unaejinasibu unajua mpira umekomaa na source za Priva
 
Kumbe unaakili za ovyo kiasi hiki.
 
Narudia tena huwezi fananisha top target ya Mazembe na reject wao. Ni swala la muda tu
Hujui mpira uto.Kwa hiyo mchezaji akiwa top target hawezi kuwa reject? Umejuaje huyo Musonda angesajiliwa Mazembe hasingekuwa reject baadae?
 
Wewe ndii hujui chochote sasa. Wenye mchezaji wao washaona hawafai wakamtoa wakaanza kutafuta mwingine mkali zaidi. Unazungumzia swala la badae na wakati tayari keshawasha moto saivi
 
Umesema mchezaji wenu atakuwa bora zaidi ya Baleke ni suala la muda. Wakati huo Baleke ashawasha Moto, sasa umejiaminisha vipi mchezaji wenu atakuwa bora zaidi ya Baleke? Au kisa kutakiwa na Mazembe hujui kuwa hata Ajibu Mazembe ilimtaka sasa hivi yuko wapi?
 
Update Musonda kwenye mashindano ya CAF hadi sasa.

[emoji460][emoji460] (magoli mawili) Vs Tp Mazembe na vs Monastir
Assist 3 vs Tp Mazembe, Bamako na vs Monastir
Jumla kahusika katika magoli matano kwenye CAF interclub msimu huu.
 
Huu uzi unaenda kuwa kama wa Mayele vs Kibu halafu waazishaji wa uzi ni wale wale makolokwinyo. Na mwishowe wanaishia kuumbuka.
Musonda kaishashirki katika magoli manne ya Yanga kwenye mashindano ya CAF tokea asajiliwe Yanga.
 
Back
Top Bottom