I get it. Nimekuelewa mkuu.
Ila majibu ya maswali yote yanapatikana kwenye comment yangu #83, otherwise haya yatakua ni mabishano tu, kila mtu anataka kulinda pride yake. I get it.
Nita-quote kidogo comment #83
Well..Katika Ligi ambazo hazipo WELL published/documented hasa kidigitali basi ni Ligi ya Congo.
Unaweza tafuta taarifa muhimu kabisa lakini ukashindwa kuzipata online.
Kama ulijaribu either ku-google, basi utapata taarifa nyingi baada ya kutua Simba au alivyokwenda Lebanon ila kabla ya hapo utakua kwenye GREY AREA.
Sasa ukitaka kupata taarifa za Congo ni bora uka-opt kutumia social media zaidi kuliko website/blogs.
Simple: Kama wewe ni Shabiki wa Yanga basi moja ya watu unao-waamini ni Digital Manager(Privadinho).
Ingia kwenye account yake(twitter), then search Baleke, utapata majibu(Japo nitapost screenshot pia).