Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
[emoji23][emoji23][emoji23]Mikimbio dhidi ya Hat trick
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]Mikimbio dhidi ya Hat trick
Yaani kwenye CAFCL amecheza mechi mbili dhidi ya Horoya, kacheza mechi mbili dhidi ya Vipers na kacheza mechi mbili dhidi ya Raja lakini cha ajabu match played zimeandika tatu badala ya sita. Ili mradi hesabu ikigawanywa kwenye CAFCL zibalansi.Msijisahaulishe..tunaendelea
View attachment 2575958
Hata Bocco mnayemuona ni galasa alipiga hat trick mbili.[emoji23][emoji23][emoji23]
Sio mbaya, hata hivyo Musonda nae ana mikimbio mizuri.Hata Bocco mnayemuona ni galasa alipiga hat trick mbili.
Nafasi anayochezeshwa Musonda ni tofauti na Baleke hilo pia lizingatiwe
Hao ndio wachambuzi wa matukio hawaangalii takwimu vs nafasi ya mchezaji. Baleke anasimama kama namba tisa kwenye timu ya Simba wakati katika klabu ya Yanga anayesimama namba tisa ni Mayele. La pili kinacholeta utofauti ni utengenezaji wa magoli, Kabla hata ya ujio wa Baleke, Simba wameongoza kuwa ndio timu pekee Tanzania inayopika magoli mengi sana, tumeona Bocco wakati akipangwa anaingia nyavuni mara nyingi pamoja na ubovu na umri, tumeona Phiri akitumbukiza magoli mengi tu pindi alipopewa nafasi. Hivyo Baleke amekutana na timu yenye wapishi wengi tofauti ilivyo Yanga.
Mkuu lile ni JINI linaitwa Baleke limeingia mjini . Kaa mbali nalo. Hayo mengine mwechieni tu Mungu ndiye anayejua.Hao ndio wachambuzi wa matukio hawaangalii takwimu vs nafasi ya mchezaji. Baleke anasimama kama namba tisa kwenye timu ya Simba wakati katika klabu ya Yanga anayesimama namba tisa ni Mayele. La pili kinacholeta utofauti ni utengenezaji wa magoli, Kabla hata ya ujio wa Baleke, Simba wameongoza kuwa ndio timu pekee Tanzania inayopika magoli mengi sana, tumeona Bocco wakati akipangwa anaingia nyavuni mara nyingi pamoja na ubovu na umri, tumeona Phiri akitumbukiza magoli mengi tu pindi alipopewa nafasi. Hivyo Baleke amekutana na timu yenye wapishi wengi tofauti ilivyo Yanga.
Hizi takwimu zina kasoro. Baleke ana goli 12. FA ana goli 3 za jana plus 1 la African SportsMwamba huyu hana mbambamba yeye mpira kunyavu bu,batarokota benyewe kunyavu[emoji23][emoji23]View attachment 2580545
Huku wanasema Baleke Mechi zidi ya
Mtibwa - 3
Ihefu - 3
6 Goals
Kakutana na timu ambazo
Ihefu walikua wanajikanyaga kanyaga na kudondoka hovyoo karibu na box lao na ivyo kupoteaa possession kirahisi, jamaa akawa anatengewa tuh kiulaini.
Na Mtibwa hawakua mchezoni siku io
Wanasema eti mechi zote izo zilikua nyepesi yaani mnateleza tu
Labda waungane Mayele, Musonda na Aziz Ki kama kifungashio ndio wamfikie BalekeHuku wanasema Baleke Mechi zidi ya
Mtibwa - 3
Ihefu - 3
6 Goals
Kakutana na timu ambazo
Ihefu walikua wanajikanyaga kanyaga na kudondoka hovyoo karibu na box lao na ivyo kupoteaa possession kirahisi, jamaa akawa anatengewa tuh kiulaini.
Na Mtibwa hawakua mchezoni siku io
Wanasema eti mechi zote izo zilikua nyepesi yaani mnateleza tu
Hoja yako ni ipi hapa?Hao ndio wachambuzi wa matukio hawaangalii takwimu vs nafasi ya mchezaji. Baleke anasimama kama namba tisa kwenye timu ya Simba wakati katika klabu ya Yanga anayesimama namba tisa ni Mayele. La pili kinacholeta utofauti ni utengenezaji wa magoli, Kabla hata ya ujio wa Baleke, Simba wameongoza kuwa ndio timu pekee Tanzania inayopika magoli mengi sana, tumeona Bocco wakati akipangwa anaingia nyavuni mara nyingi pamoja na ubovu na umri, tumeona Phiri akitumbukiza magoli mengi tu pindi alipopewa nafasi. Hivyo Baleke amekutana na timu yenye wapishi wengi tofauti ilivyo Yanga.
Anaomba eti uto apangwe na Zalan Tena hapo mwakani.A
Acha maneno mengi..tunasubiri hat trick ya mtu wenu
Na vipi kuhusu Kyombo?Hao ndio wachambuzi wa matukio hawaangalii takwimu vs nafasi ya mchezaji. Baleke anasimama kama namba tisa kwenye timu ya Simba wakati katika klabu ya Yanga anayesimama namba tisa ni Mayele. La pili kinacholeta utofauti ni utengenezaji wa magoli, Kabla hata ya ujio wa Baleke, Simba wameongoza kuwa ndio timu pekee Tanzania inayopika magoli mengi sana, tumeona Bocco wakati akipangwa anaingia nyavuni mara nyingi pamoja na ubovu na umri, tumeona Phiri akitumbukiza magoli mengi tu pindi alipopewa nafasi. Hivyo Baleke amekutana na timu yenye wapishi wengi tofauti ilivyo Yanga.